Hali hii haina madhara yoyote? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali hii haina madhara yoyote?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bnhai, Aug 14, 2009.

 1. b

  bnhai JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Imekuwa ni kawaida saana hapa JF na kwa Watanzania wengine kuitana mkuu, mh nk. Hii pia ipo hata vyuoni Dr au Prof usipomuita kwa title hiyo anakunja uso. Huko maofisini nako mtu anachekelea saana akiitwa bosi.
  Wakati fulani huwa nahisi inachochewa na kujipendekeza saana, kujikuza kwa wanaopenda kuita hivyo, kumuogopa mtu, heshima (???) nk.
  Je hali hii ndugu wa JF inamadhara ya aina yoyote. Binafsi huwa nadhani sipendi mtu aniite hivyo! Pls nahitaji somo km mtazamo wangu ni potofu maana sioni kama ni heshima.
  NB: Uzoefu wangu na Prof au Dr wa nje, wengi wanaitana kwa majina.
   
Loading...