Hali Halisi ya wanawake wa Kibongo

Falcon

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
245
68
Wanawake wa TKibongo wengi wao nyuso zao hazina mvuto wa kike wapo kama vile wanaume ukinagalia nywelezao wengi ni choko chore kinacho wasaidia ni hizo nywele za bandia isipokuwa ukiangalia kutoka shingoni hadi chini wanamvutio wa kupendeza na wakipekee katika East africa
 
Though na mimi kama wewe tu, nimefika kazini kitu cha kwanza kutumia company resources kuja Jf. Labda mtaa unaokaa mkuu. Jaribu kubadili mazingira na utembee...karibu mtaani kwetu nakuahidi utabadili msimamo wako (r u kidding?)
 
Utafiti umeufanyia wapi??? Hebu njoo kijijini kwetu uone mabinti wazuri wa sura na nywele ndefu za asili
Wanawake wa TKibongo wengi wao nyuso zao hazina mvuto wa kike wapo kama vile wanaume ukinagalia nywelezao wengi ni choko chore kinacho wasaidia ni hizo nywele za bandia isipokuwa ukiangalia kutoka shingoni hadi chini wanamvutio wa kupendeza na wakipekee katika East africa
 
Ungeangalia hao ugly women walioingia big brother house ungerudisha maneno yako kinywani! Wanawake wa Tz wazuri banaa, warundi labda ndo wanaweza kutushinda!
 
khaa mkuu wewe mgeni tz hii au waweza ukawa ukawa umekuja juzi tu toka MBWAMBWASI hahaa bongo noma wewe, kuna watoto wamebarikiwa si mchezo. Hii nchi ina kila kitu yakhe!
 
Mnawakana mama zenu na dada zenu, kama hawa wanawake ambao ni mama zanu wananyuso za ngumi basi wewe utakuwa nazo hizo hizo maana mmetoka kwenye udongo huo huo!
 
Falcon, (as your name migrant bird) mwombe Mungu radhi, na uulaani uongozi mbovu, hebu fikiria TAABU NA DHIKI Tz ilizopitia tangu mwaka 1967, dawa shida, vyakula shida, elimu tabu, ujue hayo yote madhara yake ni kwamba watoto watakaozaliwa maumbile yao yatakuwa hovyo.... uelewa wao utakuwa duni, afya mbovu. Ila kama wewe ni mmojawapo wa watakatifu wa magogoni hutakubaliana na mimi.
 
Pengine umeanza kuangalia mkeo na dada zako kwani ndo waliokuzunguka na ukasahau kwenda mtaani unategemea nini?
 
Wakuu username yake imekaa kiarabu! Anyway thanx for all wakunga walinena "akutukanae hakuchagulii tusi"
 
acha utoto weye, macho yako yanaona makengeza nini. bongo kuna totoz za kufa mtu kama huamini nenda UDSM, IFM. kwanza si umetoka wapi ww.
 
kwani wewe wawapi? mbona unaelekea kama sio mwenyeji wa Tanzania? ebu tuchanganyishie macho au hujui vizuri?
 
Pitia karatu, manyara, mbulu, hanang, singida, kondoa, rudi marangu, machame, nenda kagera, mbeya. Yani ukitaka wazuri wa chocolate au weupe, miguu, makalio utachoja mwenyewe. Dogo acha kusema uongo labda ukoo wenu ni wa bwana Wassira!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom