Hali halisi ya Tanzania: Mtazamo wangu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali halisi ya Tanzania: Mtazamo wangu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fikirikwanza, Jul 9, 2012.

 1. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hivi kusema jikaze kiume ni kuzalilisha wanawake au ndo hali ya maisha na ikatumika hivyo? naomba radhi kama utalazimika kufikiria upande wa pili kabla ya kuelewa hoja yangu.

  Kwa jinsi Tz ilivyo sasa, kila mtu analalamika kuhusu hali ngumu ya maisha, tena tunaenda mbali zaidi na kuinyoshea vidole serikali. Serikali ni dhaifu, serikali imeshindwa kutatua kero za wananchi, serikali ni fisadi si umesikia kiongozi aliyeteuliwa na rais, pm au waziri kama DED na wengine kura fedha za umma. Cha ajabu kila mtu analalama tu utadhani nchi hii wote ni wanawake.

  Mwizi ni mkali kiasi kwamba walioibiwa wananywea kabisa, tuliyempa madaraka ya kutusimamia hata hataki tumwelekeze namna ya kutusimamia? Kweli hii!!!!!! harafu tunalalamika tu, yanaishia hapo. Usibishe JK alisema ni upepo tu wa kisiasa?? unajua maana yake??? Kabla ya hapo alisema tena ni Ajali tu ya Kisiasa. Ni lini ataogopa watanzania na kutofanya anavyopenda yeye bali tunavyomtuma??? Tume ya Uchaguzi kunatokea hitirafu inakili ni kweli harafu haitoi nafasi kwa aliyeiona hitirafu kusikiliza kilio chake, eti wasomi wazalendo wanacheka tu, unalazimishwa kulima pamba baadae hakuna soko, aliyekulazimisha kulima pamba anacheka tu, anakulazimisha tena uuze kwa bei iliiyopo hata kama unapata hasara, harafu unacheka tuu, mbona muuza sukari hawakumlazimisha ashushe bei, mbona wameshindwa kwani wewe mkulima una nini??? harafu unacheka tu, mfumko wa bei unatuelemea serikali ipo kodi inachukua mishahara wanalipana tena posho kwa kazi ambazo tunawalipia mshahara, harafu sisi tupo tunacheeka tuuuuu.

  Pesa za maendeleo hazipo kwenye bajeti, harafu tunacheka tuuuuuuuu; HAZIPO NDIO. Zilizotengwa ni 30% ya bajeti ambayo inategemea misaada kwa 47.67%. Ina maana maendeleo yote ni misaada harafu na mishahara asilimia 17.67% ni misaada, hata mishahara ya serikali yako ni misaaada, harafu unachekaa tu.

  Hivi tulichagua serikali ituongoze na utaifa wetu, dola letu na nchi yetu ili itusaidie kuomba misaada au ni ubunifu wao tu hatujawatuma hivyo???? Wabunge nao tuliwatuma walete kejeli kwenye mambo ya msingi ya nchi kisa alotoa hoja ni mpinzani, ndo tulivyowatuma wabunge wa CCM??? harafu tunacheeeeeeeeeeeekaaaaaaaaaaa tuuuuuuu.

  Amsha wenzako, chukua hatua, samahani nchi hii ni kama wote ni wanawake tu. Wanaume tuliowajua wamekwisha kufa, Nyerere, Kawawa, Karume, Kolimba, Mayunga, Thabit, etc
   
 2. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna mantiki sana,isipokuwa kiswahili hicho,mm.
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo kama ni wanawake tu, then nini kinafuata, au unataka tuzae sana?
  WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
   
 4. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Bajeti ya makamu wa rais bilioni tisa hadi kumi, kudumisha muuungano serikali ya mapinduo bilioni 32
   
 5. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Asante sana mods; you did a great job, actually your job.
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ungepunguza maneno mengi ungeeleweka,

  summary inapendeza


  sio wote wanaoweza kusoma habari ndefu
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Umelala usingizi wa miaka mingi sana mambo hayo yamejadiliwa sana hapa.... ulikuwa wapi???
   
 8. O

  Original JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tuambie tufanye nini?.
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  hakuna wanaume tanzania!
   
 10. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  ACP Msangi!!
   
Loading...