HALI HALISI: Maeneo yenye mwamko kisiasa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HALI HALISI: Maeneo yenye mwamko kisiasa Tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lu-ma-ga, Sep 24, 2010.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Nimegundua kuna wanjamii wanapost kwa mtindo wa bora liende.Niwa tahadhalishe kuwa hapa tunaelimishana kwa yale ambayo mmoja hajui.So we must provide information based on informed daata and not for the sake.
  Kuna jamaa kasema eti kama Dr.Slaa ataanguka ktk uchaguzi basi watu wa mikoa ya Tabora, Mwanza na shinyanga watakuwa wamechangia kwa kuwa ni watu wa ndiyo mzee.

  Labda ni msaidie kuwa pamoja na wizi wa hali ya juu wa kura na CCM bado mikoa aliyotaja imewahi kuibuka kidedea japo na jimbo moja au zaidi kama ifuatavyo
  1. Mkoa wa Shinyanga 1995-2005 majimbo ya bariadi magharibi na mashariki yamekuwa chini ya upinzani-UDP
  • mwaka 1995-2010 Kata ya Ipililo wilayani Maswa imekuwa chini ya chama hafifu kabisa cha CHAUSTA na diwani wake Bwana Kasulumbayi mwaka huu anagombeaCHADEMA jimbo la Maswa Mashariki na anang'ara as usual
  • Jimbo la kisesa wilayani meatu limewahi kuwa chini ya UDP 2000-2005
  2. Mkoa wa Mwanza jimbo la Magu limewahi kuwa chini ya UDP 1995-2000 chini ya mzee Mapesa
  3. Mkoa wa tabora jimbo la urambo lilikuwa chini ya NCCR-Mageuzi 1995-2000

  Tujitahidi kutoa informed data kuliko ushabiki,kuna mikoa ambayo haijatwawaliwa na upinzani vni vema mkatumia nafasi hii kutoa malinganisho mfano Dodoma ,Singida, Tanga, mtwara n.k ili kuleta tija ktk mabadiliko
  Nawasilisha
   
 2. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  kweli kabisa watu wanatoa michango bila kuwa takwimu sahihi, bora we umeweka wazi manake taarifa ikiwa siyo kweli inapotosha jamii yote.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  nataka kujuwa tu hiyo mikoa iliyo ongozwa na wapinzani, ina maendelea gani hadi sasa..!

  View attachment 14256
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwani serikali ilikuwa ya upinzani? Akiwepo mbunge mmoja mwaminifu ambaye yupo kwa ajili ya maslahi ya taifa na jimbo halafu anashindana na wezi 200 wa CCM ambao wapo kwa ajili ya kuidhinisha ufisadi wa CCM unategemea hayo maendeleo yatatokeaje?

  Ndiyo maana tunasema mwaka huu tumpe Uraisi Slaa halafu na wabunge tuchague wengi zaidi wa upinzani ili hawa wabakaji wa uchumi wetu wasipate nafasi ya kupitisha wizi mwingine katika serikali takatifu ya Dr W. P. Slaa. Seriakali itakayoongozwa na nguvu za Mungu, siyo kama CCM inayoongozwa kwa nguvu za giza. Rais Slaa atalindwa na Malaika na si majini kama yanayomlinda Kikwete.

  Chagua CHADEMA, CHAGUA Slaa!
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nenda ukayaangalie maana hata ukiambiwa hutakubali. Fanya research yako kama unahitaji ukweli.

  Mwaka 2010 kura yangu nampa Dr Slaa. Kikwete simpi tena.
   
 6. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tafadhali usisahau Kagera, jimbo la Bukoba mjini mwaka 2005 Rwakatare alishinda tena kwa kura nyingi tu ila kutokana na janja ya CCM, ubunge akapewa Kagasheki. Mwaka huu hakuna janja ya nyani kila mtu ni mlinzi wa kura yake, tuone sasa kama Kagasheki atarudi.
   
 7. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #7
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jamani Dar es salaam Tunatia Aibu, Vinjaa vya siku mbili visituponze kwa miaka kumi. Ili naweka wazi mwenye chuki na anichukie VIZEE VYA KARIAKOO VIMEZIDE UKABWELA WALA MAKAMBA HAKUONGOPA, Kariakoo kuna support kubwa ya CCM. Wajumbe, Madiwani hadi Mbunge wote ni CCM.

  Tunashindwa kimawazo sana na wenzetu wa mikoani. Nani Aliesikia Kauli ya ZUNGU Mbunge wa ILALA Bungeni, kama yupo naomba Anitukane, Ina maana K.Koo hakuna Kero?!. Wamachinga wenzangu TUSIDANGANYIKE, BARABARANI TUUZE LAKINI CCM NO!.

  'Dar es salaam Standup put your hands up..'

  :peace:
   
 8. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  musoma vijijini - 1995/2000, lilikuwa chini ya CHADEMA (ndobho),Bunda pia 1995/2000 CHADEMA (wassira tyson),mwibara 1995/2000 NCCR MAGEUZI (mtamwega Mgaywa)
   
Loading...