Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

wote OUT

MAJIMBO YAO YAMECHUKULIWA NA CCM
Yaani ww ndo yule alikuwa anadarika jana jangwani?
Tegemea labda chalinze, kwa hao hapo juu ni ndoto. Pole lakini. Mshahara wa dhambi ni mauti ndo yamekufika
 
wote OUT

MAJIMBO YAO YAMECHUKULIWA NA CCM
Una roho ngumu sana hauna tofauti na Tarek Aziz aliyekuwa waziri wa habari wa Iraki, hadi Bagdad inazingirwa bado alikuwa akisema wamarekani wataishia mtoni na kuliwa na mamba pole sana.
 
wote OUT

MAJIMBO YAO YAMECHUKULIWA NA CCM

taarifa nilizopata ni kuwa wote wanaongoza katika vituo vilivyoisha hesabu kura. Muda si mrefu, tutapata matokeo kamili. Jimbo la Kinondoni, CCM wanaongoza karibu katika kata nyingi.
 
Una roho ngumu sana hauna tofauti na Tarek Aziz aliyekuwa waziri wa habari wa Iraki, hadi Bagdad inazingirwa bado alikuwa akisema wamarekani wataishia mtoni na kuliwa na mamba pole sana.

Mkuu, Tarek Aziz alikuwa naibu prime minister.

Waziri wa habari na msemaji wa Iraq wakati ule alikuwa anaitwa Mohammed Al SAHAF kama sikosei. Yaani jamaa alikuwa ana moyo yule, aliendelea kupiga propaganda mpaka dakika za mwisho mwisho wakati majeshi yapo mita kadaa kukamata Baghdad na kidogo wamkamatie studio!!

Huyu JEYKEY WA UONgO nadhani anafanya jokes tu lakini hapa si mahali pake. Hapa ni data full. CCM/CHADEMA kwa pamoja, afterall Dr. slaa anakuja kuwa rais wetu sote.

Politix zilifungwa jana. Sawa sawa JKfake!?
 
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotolewa na mmoja wa makampeni meneja wake, Edward Kinabo,mpaka sasa katika kata 14, Mnyika anaongoza kwenye kata 12 kwa kumzidi mgombea wa CCM, Hawa Ng'umbi kura 16,732.

Matokeo ya kata 2 za Saranga na Kibamba bado yanaendelea kujumlishwa na timu yake inayotumia fomu za matokeo halali ya kila kituo yaliyotolewa na NEC.Wakati huo huo wagombea udiwani wa Chadema kata ya Ubungo, Sinza, Saranga, Goba, Mbezi, Makuburi na Kibamba wanatarajiwa kutangazwa washindi wakati wowote kuanzia sasa baada ya kuongoza kwa kura nyingi.

Matokeo rasmi ya ubunge yanatarajiwa kutangazwa leo baada ya Nec na vyama vyote kukamilisha ujumlishaji unaoanza alfajiri hii Mabibo katika ukumbi wa shule ya sekondari Loyola.

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Mnyika mwenyewe
 
watuuuuuuuuuuuuuuuuu...!!!!!!!
Peoplesssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!
Saa ya ukombozi ni sasaaaaaa!
Bravo broda, hongera saaaaana!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom