Hali halisi haipo kama inavyodaiwa na wapiga kelele wa mitandaoni

naomba muayache kwa wandamanaji wenyewe mtakuja na maswali mengi mtakosa majibu
kimya nacho ni jibu tosha
 
Yaani mtaani watu hawana taarifa na maandamano ya April 26, wako busy na shughuli zao, wengi hawana shida na rais wao.

Ukija humu utadhani jpm ni Al Assad, watu wanatiana pressure humu jamiiforum utadhani kesho kuna mapinduzi ya rais hahaaaaa!
Unaongelea mtaani au kijijini ambapo maisha ni kula na kulala tu
 
When all is said and done 26/4 raia wanaamsha dude. TL kuapishwa rais wa mpito ubelgiji hospitali via satellite video link.
 
Sikutaka kuingilia mazungumzo yako na wachangiaji humu lakini nimeshindwa kuvumilia.

Hii kulia lia kuhusu ajira kunakera. Kwa, nini hujiungi na kijiji, watakupa kipande cha ardhi ya kijiji liwe shamba lako. Lima mazao ujikimu.

Watanzania ukisema ajira wanawaza ofisi na kiyoyozi tuuu.
1. Aliyekwambia sina kazi nani?
2. Nimeongelea masuala mengi zaidi ya ajira but hamtaki kujibu mengine mnachukua kipengele cha ajira mnakiongelea nkiwajib mnasema tunalia wakati hoja nliyoweka hamjaijb.
3. Naona uongo wako kua polisi walizuia maandamano usa hauongelei tena.
4. Me naongelea swala la policies zilizopo zinavyoaffect nyanja zote but naona wewe unataka kuniattack personally nakwambia policies zinasababisha unemployment rate kua kubwa we unasema nijiunge na kijiji nilime sijui hiyo ndo policy iliyopo?
5. Nlikuuliza ni nchi gan inapractise full democracy in Africa haijaendelea naona umekimbia hilo pia.
6. Nlimuuliza mwenzako Nyani je kuna makosa yoyote ya serikali ya awamu hii na je kuna mapungufu yoyote ya jpm naona mpaka sasa hajajibu labda nihamishie kwako
 
Nimekuwa Arusha,Babati,Singida na Dodoma within a week. Kwamba hali sio mbaya sijibu ila the main motion people discuss is 26/4. Hili nina hakika nalo na halivutii. Sababu kubwa itakuwa ni uonevu wa serikali dhidi ya raia. Labda sio kukosekana kwa ajira au kutopandishwa madaraja watumishi. Swala ni mitandao kuonesha uonevu wa dola,mauaji na kupotea kwa raia kwenye mazingira ya kutatanisha.
Wewe na Mange mnafanana. Wote walowezi ila mnatofautiana level ya uzalendo vs ukabila

Asante wewe umemaliza, hapa kwenye kipengele cha “Wakunyumba” ndipo panapomsumbua mshikaji.
 
Hakika ulimwengu wa kwenye mtandao upo tofauti sana na huu ulimwengu wa kawaida.

Kwa nini nasema hivyo?

Nasema hivyo kwa sababu ukizisikiliza hizi kelele za hawa mahodari wa kulialia na kunung’unika huku kwenye mitandao ya kijamii mtu unaweza kudhani kuwa Tanzania sasa hivi haikaliki.

Kwamba, hali ni mbaya mno kiasi kwamba yanahitajika mapinduzi ya wananchi kuiondoa serikali halali iliyopo madarakani.

Kwamba, hali ni mbaya sana kiasi tunahitaji jumuiya ya kimataifa kuingilia kati.

Kwamba, hali ni mbaya sana kiuchumi kiasi cha mtu kudhani watu wanashindwa kuendesha maisha yao ya kila siku.

Kwamba, hali ni mbaya sana kiasi kwamba utawala uliopo madarakani umewafunga midomo watu wasiongee yoyote mabaya dhidi yake.

Yaani ukiwasikiliza hawa mashujaa wa kwenye mitandao unaweza kudhani tupo chini ya utawala mbaya kuliko hata wa Idi Amini kule Uganda au kwingineko ambako kumewahi kutawaliwa na madikteta wa kweli.

Sasa, hivi ni kweli kabisa kwamba hali ni mbaya kiasi hicho?

Mimi nakataa. Nabisha kabisa. Hali siyo mbaya hata kidogo vile ambavyo hawa mashujaa wa kwenye mitandao wanavyotaka watu waamini!

Watu wanaendelea na maisha yao ya kila siku kama ilivyo kawaida. Wanakula starehe kama kawaida. Wanajamiiana kama kawaida. Wanaongea kama kawaida. Wanapiga umbea kama kawaida. Wanazusha mambo kama kawaida. Wanatiririka kama kawaida. Na hata hapa JF tupo kama kawaida.

Sasa kama yote hayo yapo na yanafanyika hiyo hali ni mbaya kiasi hicho kweli?

Acheni masikhara bana! Hali mbaya mnaijua au mnaisikia tu?
Huna jipya kapuku ww. Pumbaf zako
 
Hivi umegundua kuwa hawa makamanda ndo watu wasio na uvumilivu kwa mawazo ya wengine wasio na mitazamo kama ya kwao?

Yaani wao ukiwa na mtazamo tofauti watakutukana kila aina ya matusi!

Hata kwenye chama chao hakuna demokrasia ukilinganisha na CCM.

Huko CHADEMA nani anaweza kufungua mdomo wake akampinga mwenyekiti?

Lakini CCM kila siku akina Bashe, Nape, na wengineo wanatoa maoni ambayo wakati mwingine unaona kabisa yanampinga Magufuli lakini bado wapo kwenye chama!

Huko CHADEMA kuna kitu kama hicho?

Walipojaribu akina Zitto na Kitila wakatimuliwa!

Hahahahahahaaa.
Unaongelea bashe aliyehojiwa kuhusu uraia? Au nape aliyefukuzwa uwaziri ili hali anatekeleza majukumu ya kiwaziri?
Chadema nao wanamatatizo mengi,mbowe should resign amekua pale muda mrefu,zitto should be brought back to the fold pamoja na mapungufu yake he is a leader with a lot of influence especially in his region, matumizi ya ruzuku should be more open and audited.
No political party is perfect na kusupport kimoja haimaanishi huwezi kukikosoa at the same time au kusifia mpinzani wako akipatia
 
Na wale wa kusifiasifia mitandaoni hali haiko vile kiuhalisia, wanasifia kwa mazoea tu
 
Hakika ulimwengu wa kwenye mtandao upo tofauti sana na huu ulimwengu wa kawaida.

Kwa nini nasema hivyo?

Nasema hivyo kwa sababu ukizisikiliza hizi kelele za hawa mahodari wa kulialia na kunung’unika huku kwenye mitandao ya kijamii mtu unaweza kudhani kuwa Tanzania sasa hivi haikaliki.

Kwamba, hali ni mbaya mno kiasi kwamba yanahitajika mapinduzi ya wananchi kuiondoa serikali halali iliyopo madarakani.

Kwamba, hali ni mbaya sana kiasi tunahitaji jumuiya ya kimataifa kuingilia kati.

Kwamba, hali ni mbaya sana kiuchumi kiasi cha mtu kudhani watu wanashindwa kuendesha maisha yao ya kila siku.

Kwamba, hali ni mbaya sana kiasi kwamba utawala uliopo madarakani umewafunga midomo watu wasiongee yoyote mabaya dhidi yake.

Yaani ukiwasikiliza hawa mashujaa wa kwenye mitandao unaweza kudhani tupo chini ya utawala mbaya kuliko hata wa Idi Amini kule Uganda au kwingineko ambako kumewahi kutawaliwa na madikteta wa kweli.

Sasa, hivi ni kweli kabisa kwamba hali ni mbaya kiasi hicho?

Mimi nakataa. Nabisha kabisa. Hali siyo mbaya hata kidogo vile ambavyo hawa mashujaa wa kwenye mitandao wanavyotaka watu waamini!

Watu wanaendelea na maisha yao ya kila siku kama ilivyo kawaida. Wanakula starehe kama kawaida. Wanajamiiana kama kawaida. Wanaongea kama kawaida. Wanapiga umbea kama kawaida. Wanazusha mambo kama kawaida. Wanatiririka kama kawaida. Na hata hapa JF tupo kama kawaida.

Sasa kama yote hayo yapo na yanafanyika hiyo hali ni mbaya kiasi hicho kweli?

Acheni masikhara bana! Hali mbaya mnaijua au mnaisikia tu?

Pombe uliyokunywa leo usiirudie tena. Itakufanya chizi. Wewe huoni kama "hali ni mbaya" TZ! Ni chizi tu asiyeona haya.
 
1. Aliyekwambia sina kazi nani?
Kama wewe una kazi sawa lakini naona unalalamika kuna watu hawana ajira. Hao ndio ninaokuuliza kwa nini hawendi vijijini wakalime?
2. Nimeongelea masuala mengi zaidi ya ajira but hamtaki kujibu mengine mnachukua kipengele cha ajira mnakiongelea nkiwajib mnasema tunalia wakati hoja nliyoweka hamjaijb.
Mimi nimeamua kukujibu kuhusu ajira kwa kuwa ndilo lililonikera.
3. Naona uongo wako kua polisi walizuia maandamano usa hauongelei tena.
Sio uongo. Maandamano ya Baltimore, Ferguson (blacklives matter), Occupy wall street ya New York, yote yalizuiwa na polisi. Watu walifyatuliwa mabomu ya moshi na rubber bullets. Watu wameuawa na polisi katika haya maandamano yasiyo na vibali.

Tena USA siku hizi kukiwa na maandamano yasiyo vibali hao wanaoyavyunja ni military-style police.

Hizo vurugu kati ya polisi na raia hapa Marekani ni vitu vya kawaida sana hivyo kwamba kama hakuna aliekufa wala habari zake hazivumi.
4. Me naongelea swala la policies zilizopo zinavyoaffect nyanja zote but naona wewe unataka kuniattack personally nakwambia policies zinasababisha unemployment rate kua kubwa we unasema nijiunge na kijiji nilime sijui hiyo ndo policy iliyopo?
Sio policies mbovu bali kabla ya hii serikali ya Magufuli hela zilikuwa chekwa chekwa mitaani kutokana na wezi wa hela za umma (TRA, TPA, madawa ya kulevya, matumizi mabaya ya ofisi za umma) hivyo kwamba hela ilikuwa rahisi kuipata kwa sababu serikali ilikuwa inaibiwa.

Baada ya Magufuli kudhibiti hii mianya ya wizi, watu hawajimwagi kifisadi tena hivyo zile biashara zote zilizokuwa zinatoa ajira sasa zimefilisika.

Hii inatufundisha nini?

Ni lazima tujifunze kupata hela kwa njia halali.

Kilimo kinalipa lakini nyie vijana wa TZ wote mkienda shule tu mnafikiria ndio mmeepukana na jembe. Ukipata nafasi njoo Marekani uone university graduates wanavyofanya kazi za hovyo kabisa ( mnaita kubeba box) ilimradi apate kipato.
5. Nlikuuliza ni nchi gan inapractise full democracy in Africa haijaendelea naona umekimbia hilo pia.
Kuna nchi yoyote duniani (wachilia mbali Africa) inayo-practise full democracy? Hebu nitajie hiyo nchi.

Au hujui maana ya full democracy?
6. Nlimuuliza mwenzako Nyani je kuna makosa yoyote ya serikali ya awamu hii na je kuna mapungufu yoyote ya jpm naona mpaka sasa hajajibu labda nihamishie kwako
Hakuna mtu au serikali isiyokuwa na mapungufu yake.

Lakini haya mapungufu ya Magufuli na serikali yake hayajafikia kiwango cha kutaka kumpindua baada ya miaka 2 na nusu ya kutawala. That is just crazy.
 
@"Nyani Ngabu

Ajira kwa graduates unaona ipo kama kawaida? Uhuru wa maoni je? I fail to understand watu mnaosupport just muonekane
Wamefungwa akili kaka hawawez kuona
Au kama sio,mi naamini kabisa kuna watu akili zao ndogo sana kama nyani ngabu,yaani kusoma haju,Basi hata picha,haya mauaji yanayoendelea haoni,unyanyaji wa viongoz wa upinzani haon,unyanyasaji wa Watumish haoni,watu kufukuzwa kaz na hakuna ajira mpya haoni,ukiikosoa serikali maisha kuwa hatarini haoni.dah
 
Kama wewe una kazi sawa lakini naona unalalamika kuna watu hawana ajira. Hao ndio ninaokuuliza kwa nini hawendi vijijini wakalime?

Mimi nimeamua kukujibu kuhusu ajira kwa kuwa ndilo lililonikera.

Sio uongo. Maandamano ya Baltimore, Ferguson (blacklives matter), Occupy wall street ya New York, yote yalizuiwa na polisi. Watu walifyatuliwa mabomu ya moshi na rubber bullets. Watu wameuawa na polisi katika haya maandamano yasiyo na vibali.

Tena USA siku hizi kukiwa na maandamano yasiyo vibali hao wanaoyavyunja ni military-style police.

Hizo vurugu kati ya polisi na raia hapa Marekani ni vitu vya kawaida sana hivyo kwamba kama hakuna aliekufa wala habari zake hazivumi.

Sio policies mbovu bali kabla ya hii serikali ya Magufuli hela zilikuwa chekwa chekwa mitaani kutokana na wezi wa hela za umma (TRA, TPA, madawa ya kulevya, matumizi mabaya ya ofisi za umma) hivyo kwamba hela ilikuwa rahisi kuipata kwa sababu serikali ilikuwa inaibiwa.

Baada ya Magufuli kudhibiti hii mianya ya wizi, watu hawajimwagi kifisadi tena hivyo zile biashara zote zilizokuwa zinatoa ajira sasa zimefilisika.

Hii inatufundisha nini?

Ni lazima tujifunze kupata hela kwa njia halali.

Kilimo kinalipa lakini nyie vijana wa TZ wote mkienda shule tu mnafikiria ndio mmeepukana na jembe. Ukipata nafasi njoo Marekani uone university graduates wanavyofanya kazi za hovyo kabisa ( mnaita kubeba box) ilimradi apate kipato.

Kuna nchi yoyote duniani (wachilia mbali Africa) inayo-practise full democracy? Hebu nitajie hiyo nchi.

Au hujui maana ya full democracy?

Hakuna mtu au serikali isiyokuwa na mapungufu yake.

Lakini haya mapungufu ya Magufuli na serikali yake hayajafikia kiwango cha kutaka kumpindua baada ya miaka 2 na nusu ya kutawala. That is just crazy.
Unaongelea maandamano yaliyotokea wakati trump alipoapishwa kua rais then unataja Baltimore na black lives matter ilihali hayo yalitokea wakati wa obama,please ukiwa wajibu usidhani wote hawafuatilii habari women's march ndo ilifanyika after trump kua elected na hamna polisi waliohusika.
Unasema ajira inakukera na siyo mengine, do you know nchi kama marekani moja ya criteria za kujudge rais ni employment levels zilizopo, wengi mnasema jiajirini je mazingira yako, condusive kwa hilo?
Mnasema mafisadi ndo walisababisha hela ziwe nje na now mmebana but je zile zinazobanwa zinaenda wapi? Mlituaminisha mnajenga reli kwa hela yetu kumbe ni loan na deni la taifa linazidi ongezeka.
 
Kama wewe una kazi sawa lakini naona unalalamika kuna watu hawana ajira. Hao ndio ninaokuuliza kwa nini hawendi vijijini wakalime?

Mimi nimeamua kukujibu kuhusu ajira kwa kuwa ndilo lililonikera.

Sio uongo. Maandamano ya Baltimore, Ferguson (blacklives matter), Occupy wall street ya New York, yote yalizuiwa na polisi. Watu walifyatuliwa mabomu ya moshi na rubber bullets. Watu wameuawa na polisi katika haya maandamano yasiyo na vibali.

Tena USA siku hizi kukiwa na maandamano yasiyo vibali hao wanaoyavyunja ni military-style police.

Hizo vurugu kati ya polisi na raia hapa Marekani ni vitu vya kawaida sana hivyo kwamba kama hakuna aliekufa wala habari zake hazivumi.

Sio policies mbovu bali kabla ya hii serikali ya Magufuli hela zilikuwa chekwa chekwa mitaani kutokana na wezi wa hela za umma (TRA, TPA, madawa ya kulevya, matumizi mabaya ya ofisi za umma) hivyo kwamba hela ilikuwa rahisi kuipata kwa sababu serikali ilikuwa inaibiwa.

Baada ya Magufuli kudhibiti hii mianya ya wizi, watu hawajimwagi kifisadi tena hivyo zile biashara zote zilizokuwa zinatoa ajira sasa zimefilisika.

Hii inatufundisha nini?

Ni lazima tujifunze kupata hela kwa njia halali.

Kilimo kinalipa lakini nyie vijana wa TZ wote mkienda shule tu mnafikiria ndio mmeepukana na jembe. Ukipata nafasi njoo Marekani uone university graduates wanavyofanya kazi za hovyo kabisa ( mnaita kubeba box) ilimradi apate kipato.

Kuna nchi yoyote duniani (wachilia mbali Africa) inayo-practise full democracy? Hebu nitajie hiyo nchi.

Au hujui maana ya full democracy?

Hakuna mtu au serikali isiyokuwa na mapungufu yake.

Lakini haya mapungufu ya Magufuli na serikali yake hayajafikia kiwango cha kutaka kumpindua baada ya miaka 2 na nusu ya kutawala. That is just crazy.
Kuanzia mwanzo nimesema I dont support maandamano nkasema we need an open discussion ya kinachoendelea but I guess hiyo part uliamua kuignore coz haifit ur agenda
 
Hali ya Nchi ni Mbaya tena sana
Kiuchumi, kisiasa, ki usalama etc
 
Hakika ulimwengu wa kwenye mtandao upo tofauti sana na huu ulimwengu wa kawaida.

Kwa nini nasema hivyo?

Nasema hivyo kwa sababu ukizisikiliza hizi kelele za hawa mahodari wa kulialia na kunung’unika huku kwenye mitandao ya kijamii mtu unaweza kudhani kuwa Tanzania sasa hivi haikaliki.

Kwamba, hali ni mbaya mno kiasi kwamba yanahitajika mapinduzi ya wananchi kuiondoa serikali halali iliyopo madarakani.

Kwamba, hali ni mbaya sana kiasi tunahitaji jumuiya ya kimataifa kuingilia kati.

Kwamba, hali ni mbaya sana kiuchumi kiasi cha mtu kudhani watu wanashindwa kuendesha maisha yao ya kila siku.

Kwamba, hali ni mbaya sana kiasi kwamba utawala uliopo madarakani umewafunga midomo watu wasiongee yoyote mabaya dhidi yake.

Yaani ukiwasikiliza hawa mashujaa wa kwenye mitandao unaweza kudhani tupo chini ya utawala mbaya kuliko hata wa Idi Amini kule Uganda au kwingineko ambako kumewahi kutawaliwa na madikteta wa kweli.

Sasa, hivi ni kweli kabisa kwamba hali ni mbaya kiasi hicho?

Mimi nakataa. Nabisha kabisa. Hali siyo mbaya hata kidogo vile ambavyo hawa mashujaa wa kwenye mitandao wanavyotaka watu waamini!

Watu wanaendelea na maisha yao ya kila siku kama ilivyo kawaida. Wanakula starehe kama kawaida. Wanajamiiana kama kawaida. Wanaongea kama kawaida. Wanapiga umbea kama kawaida. Wanazusha mambo kama kawaida. Wanatiririka kama kawaida. Na hata hapa JF tupo kama kawaida.

Sasa kama yote hayo yapo na yanafanyika hiyo hali ni mbaya kiasi hicho kweli?

Acheni masikhara bana! Hali mbaya mnaijua au mnaisikia tu?

Ninyi wa Masaki hamuuhusik sana na hali halisi
 
Back
Top Bottom