Hali bado tete CHADEMA, moto wafukuta tena

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Na:Faida potea Kijana WA Mwanza

Hali yazidi kuwa ngumu ndani ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo Chadema baada ya wanachama watiifu wa chama hicho na Wabunge kudai hawaelewi Ruzuku ya chama inavyotumika na chama hicho,
Hali hiyoo ilielezwa na mwana chama mmoja kwa niaba ya Wabunge wa chadema wanaodai wao wamechoshwa na viongozi wakuu wa chama kuwachangisha hela kwaajili ya ujenzi wa chama hali ya kuwa chama kama chama kina ingiza Ruzuku kubwa ndani ya chama kuliko vyama vingine,
Wabunge hawo hawakutaka kuweka wazi katika hili kwa kulinda nafasi zao ndani ya chama hicho,

Hali hii imepelekea Viongozi kuitisha kikao cha ghafla kujadili hilo pamoja na sintofahamu za wabunge wao kuwa katika order ya kuhama chama hicho kutokana na uvujwaji wa hela za Ruzuku za chama huku wao wakishinikizwa kuchangishwa michango,
Baadhi ya Wana chama walikuwa wakihoji iweje Ruzuku ya chama karibu %80iende kwa Aliekuwa Mgombea wao wa Urais?huku chama kikibaki kama omba omba michango kwa Wabunge,
Hali hii imeweka sintofahamu kwa Mkiti wa chama Freeman Mbowe,

Ndani ya kikao hicho ambacho karibu wajumbe wote waliunga mkono chama kije kikaguliwe mwenendo wa utumiaji wa fedha hizo,
Katika Mjadala huo wako baadhi ya wabunge waliweka Masharti ya kutochangia tena mpaka ukaguzi upite ili wanachama wajue Ruzuku kwann inaenda kwa Lowasa yote,
Baada ya mjadala huo kumalizika ndipo zikaja hoja za watu kuondoka chama na kujiunga ccm,

WABUNGE CHADEMA WAGOMA.
Baad ya tetesi za baadhi ya wabunge kuhama na kwenda vyama vingine,wabunge wengi wamegoma kuliongolea hilo kwasababu bado ndani ya chama kunatatizo la msingi ambalo linatuumizi sisi wabunge pamoja na wanachama,
chama kupitia Mkiti anatakiwa awaambie wanachama na kuutangazia Umma kuwa hela ya Ruzuku wapi inaenda na akubali kukaguliwa hesabu hizo,
Wabunge hawo walipoojiwa wakiwa njee ya kikao walisema hawataongea sasa mpk hapo kikao kitakapoisha na hapo mkaguzi mkuu wa serekali kwenda kukagua Mahesabu ya Ruzuku ya chama.

Wabunge watatu hawakuweza kukaa kimya japo walisema kila mtu anayo haki kikatiba kusema,au kwenda kokote japo muda wa hayo bado haujafika kuyasema,
Wakati mwandishi wetu akiendelea kuchimbua ndipo wabunge hawo wakakimbia na kuwaambia waandishi mnaharaka sana subirini muda ukifika mtapata
 
Hahahahahhahahahah..... nimesema san
Hicho ni KIKOBA a.k.a SACCOS
Lazima kife kwanza ili waunde chama cha siasa
 
Wakati mwandishi wetu akiendelea kuchimbua ndipo wabunge hawo wakakimbia na kuwaambia waandishi mnaharaka sana subirini

Back to school Dude

Swissme
 
Unajaribu kuokoteza ili kujipa raha? Yabidi maana huko wafia chama cha majuha mmetoswa dhidi ya wakununua toka upinzani.
 
Mambo ya chama kama hayo yanasemwa ktk vikao vya chama vya ndani huku tuletewe yaliyojili kuliko udaku.

Tanbihi Vyama vya siasa havitakufa matarajio yangu baada ya miaka 10 makinikia ya CCM huku upinzani yatakuwa yamekwisha kabisa maana hao wote waliopo upinzani walikuwa CCM baada ya kukosa ulaji wakaanzisha vyama
 
Na:Faida potea Kijana WA Mwanza

Hali yazidi kuwa ngumu ndani ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo Chadema baada ya wanachama watiifu wa chama hicho na Wabunge kudai hawaelewi Ruzuku ya chama inavyotumika na chama hicho,
Hali hiyoo ilielezwa na mwana chama mmoja kwa niaba ya Wabunge wa chadema wanaodai wao wamechoshwa na viongozi wakuu wa chama kuwachangisha hela kwaajili ya ujenzi wa chama hali ya kuwa chama kama chama kina ingiza Ruzuku kubwa ndani ya chama kuliko vyama vingine,
Wabunge hawo hawakutaka kuweka wazi katika hili kwa kulinda nafasi zao ndani ya chama hicho,

Hali hii imepelekea Viongozi kuitisha kikao cha ghafla kujadili hilo pamoja na sintofahamu za wabunge wao kuwa katika order ya kuhama chama hicho kutokana na uvujwaji wa hela za Ruzuku za chama huku wao wakishinikizwa kuchangishwa michango,
Baadhi ya Wana chama walikuwa wakihoji iweje Ruzuku ya chama karibu %80iende kwa Aliekuwa Mgombea wao wa Urais?huku chama kikibaki kama omba omba michango kwa Wabunge,
Hali hii imeweka sintofahamu kwa Mkiti wa chama Freeman Mbowe,

Ndani ya kikao hicho ambacho karibu wajumbe wote waliunga mkono chama kije kikaguliwe mwenendo wa utumiaji wa fedha hizo,
Katika Mjadala huo wako baadhi ya wabunge waliweka Masharti ya kutochangia tena mpaka ukaguzi upite ili wanachama wajue Ruzuku kwann inaenda kwa Lowasa yote,
Baada ya mjadala huo kumalizika ndipo zikaja hoja za watu kuondoka chama na kujiunga ccm,

WABUNGE CHADEMA WAGOMA.
Baad ya tetesi za baadhi ya wabunge kuhama na kwenda vyama vingine,wabunge wengi wamegoma kuliongolea hilo kwasababu bado ndani ya chama kunatatizo la msingi ambalo linatuumizi sisi wabunge pamoja na wanachama,
chama kupitia Mkiti anatakiwa awaambie wanachama na kuutangazia Umma kuwa hela ya Ruzuku wapi inaenda na akubali kukaguliwa hesabu hizo,
Wabunge hawo walipoojiwa wakiwa njee ya kikao walisema hawataongea sasa mpk hapo kikao kitakapoisha na hapo mkaguzi mkuu wa serekali kwenda kukagua Mahesabu ya Ruzuku ya chama.

Wabunge watatu hawakuweza kukaa kimya japo walisema kila mtu anayo haki kikatiba kusema,au kwenda kokote japo muda wa hayo bado haujafika kuyasema,
Wakati mwandishi wetu akiendelea kuchimbua ndipo wabunge hawo wakakimbia na kuwaambia waandishi mnaharaka sana subirini muda ukifika mtapata
Unaandika kishoga shoga huku unarembua macho boya wewe. Sisi wengine hatutumii michezo hiyo

Yaani cdm inapata ruzuku kubwa kuliko vyama vyote? Wabunge waje wakulalamikie wewe? Cdm kaja nyarandu bure ila uchwara anaangaika na eti nakutaka kwa gharama yoyote... Shumaamit you won't go through
 
Eti CHADEMA ndicho chama kinachopata ruzuku kubwa kuliko vyama vingine, mkuu hii inaonesha jinsi gani ulivyo tupu kichwani.
 
Kama ruzuku inatokana na kura alizopata mgombea wa urais na idadi ya viti vya wabunge, iweje hao wabunge wa cdm unaodai kuwahoji wakwambia wameshoshwa na michango ili hali chama chao kinaingiza hela nyingi za ruzuku kuliko vyama vyote, kwanini hukuwakubusha kwamba ccm ndicho chenye ruzuku kubwa hapa tz? Au nawe hukujua ruzuku zinagawiwaje?
 
Serikali yenyewe inachangisha watu pesa za ujenzi wa nyumba za askari,walimu sembuse CDM!!!

Wachangishe asiyetaka kutoa hajalazimishwa

Kutoa ni moyo
 
Mtoa mada hajui hata kuandika kwa ufasaha; pia umeandika simulizi huna data hata moja, ungekuwa muungwana ungeweka ruzuku ni kiasi gani na useme ni michango ipi iliyochangishwa ambayo ruzuku ingetumika! Kama huna taarifa za msingi acha upotoshaji mjomba, propaganda za kipuuzi hizi na njaa zenu za ccm zitawaua!
 
Mpuuzeni huyo mpotoshaji na mzushi mwenye kupenda kukaa nyuma na kujibanza akijifanya mpelelezi wa ccm ili kuambulia buku saba! Kwa taarifa yako wanacdm na wabunge wao wanajitambua mno kushinda wewe na jerry muro wako na wengineo wote ambao wana akili za mbuzi kununuliwa wakati wa kafara!
Kamuulize polepole akufafanulie jinsi ruzuku inavyotolewa na ukiishelewa urudi hapa kukorma.
 
Back
Top Bottom