Hali bado ni tete

Comrade Kessy

New Member
Sep 28, 2011
2
0
Vijana wanaotarajia kujiunga na elimu ya juu mwaka huu, jana wametishia kulala nje ya makuu ya wizara ya elimu yaliyoko posta, mkabala na ikulu ya nchi hii. Vijana hao ambao ni sehemu tu ya vijana wote wa tanzania waliokubwa na kadhia hiyo, walionekana kuchoshwa na dana dana ambazo wamekuwa wakipigwa,
Katika hali isiyo ya kawaida vijana hao waliofika sehemu hiyo asubuhi ya saa tatu, walijikuta wakiongea na makarani kwani naibu waziri wa elimu, alidai kutoyatambua madai yao. Ilipofika saa moja nas robo usiku, vijana hao walipewa amri ya kusambaa na makamanda wa polisi waliokuwa hapo.
 
na wao wakasambaa??
au wakaendelea kukomaa
 
Nashangaa sana serikali inapolipeleka suala hili kisiasa.
OTIS.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom