Hali bado ni tete kwa Wakulima wa Korosho

Chaajabu kipi kilo 1,500 ni sawa na gunia 15 za kilo 100 au tani 1.5..korosho ikitema unaweza kupata hata kilo 3000 kama una hekari za mikorosho ya kutosha

Au wanajua korosho ni kama pamba ukilima heka 10 unapata pamba kilo 70...sioni sababu ya kufanya hiu ishu kuwa ngumu

Kama hawawezi kununua waachie wakulima wauze korosho zao sio kuingilia kati na kuwababaisha wakati wa malipo...

Tunapoelekea korosho itakuwa kama kilimo cha bangi au mirungi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chaajabu kipi kilo 1,500 ni sawa na gunia 15 za kilo 100 au tani 1...korosho ikitema unaweza kupata hata kilo 3000 kama una hekari za mikorosho ya kutosha

Au wanajua korosho ni kama pamba ukilima heka 10 unapata pamba kilo 70...sioni sababu ya kufanya hiu ishu kuwa ngumu

Kama hawawezi kununua waachie wakulima wauze korosho zao sio kuingilia kati na kuwababaisha wakati wa malipo...

Tunapoelekea korosho itakuwa kama kilimo cha bangi au mirungi

Sent using Jamii Forums mobile app
Taifa lisilotenda hak kwa wananchi wake haliwezi kubarikiwa na Mungu.

Kwani wahanga hawawezi kufungua kesi mahakamani, mbona tunatiana umasikini kwa kiwango hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Govt now freezes Sh3.8bn cashews bank accounts

Saturday December 29 2018

CASHIEW+PIC.jpg

Prime Minister Kassim Majaliwa inspects bags of cashew nuts at a warehouse recently. The government moved to block the accounts after Sh3.8 billion had been deposited as of Monday, December 24, 2018. PHOTO | FILE
In Summary
According to Agriculture minister Japhet Hasunga, some bank account holders had sold cashew nuts exceeding 1,500 kilogrammes through different farmer associations

Advertisement

By Louis Kolumbia @Collouis1999 lkolumbia@tz.naionmedia.com

Dar es Salaam. At least 191 bank accounts belonging to cashew nut farmers have been frozen pending a detailed government verification on ownership of the produce, it has been revealed.
The government moved to block the accounts after Sh3.8 billion had been deposited as of
Monday, December 24, 2018.

Agriculture minister Japhet Hasunga confirmed the move in an exclusive interview with The Citizen.
He said the bank account holders had sold cashew nuts exceeding 1,500 kilogrammes, therefore, the need to verify.
“It was discovered that they sold cashew nuts in small amounts at different Agricultural Marketing and Cooperative Societies (Amcos), but when their produce was put together it exceeded 1,500 kilogrammes, with others reaching 3,000 kilos, therefore, requiring verification,” he said.
“They will need to show our verification teams where these cashews were harvested, which is routine procedure. The accounts will only be reopened after farmers satisfy our verification teams because the government is committed to ensuring that only the right recipients are paid this money.”
Apparently, some farmers had attempted to circumvent the government’s verification exercise by selling their produce in small portions – below the 1,500kgs threshold – to different Amcos.
But they might have made the mistake of depositing all the money they received into one bank account – for them a costly misstep that could have led to the accounts being frozen.
The minister also told The Citizen that the government was yet to establish the actual total tonnage of cashew nuts confiscated for comprehensive verification. He, however, hinted that the problem was huge.
At least Sh206.092 billion had been paid to farmers as of Thursday, the government said. Of this amount, Sh188.378 billion had been deposited into farmers’ accounts by Christmas.
The figures means that payment so far made is for 62,452.333 tonnes of cashew nuts out of the collected total of 188,799 tonnes.
Farmers owning 126,347.07 tonnes are yet to be paid
.

“At least 100,534 individual farmers have been paid, regardless of how many times they had taken the crop to Amcos,” Mr Hasunga said. “The process cannot be completed at the end of this month as earlier planned because of a number of challenges, hopefully this will be concluded at the end of January.”
The farmers come from 398 Amcos out of 617 registered across the country. The three Southern regions of Lindi, Mtwara and Ruvuma account for 504 Amcos.
There are complaints already from some farmers who say they have been sidelined in the payment process.
Tandahimba Farmers Association (Tafa) chairman Faraji Njapuka blamed “fraudsters” who had been shortchanging cashew nut farmers for their woes. But he had hoped that by now some farmers from his area would have received payments by now.
“We are troubled by figures released by the government because despite being a major cashew producer in the country, the Amcos in Tandahimba is yet to receive a penny,” he said. He wants the government to give priority to major producers.
Tandahimba and Newala Cooperative Union (Tanecu) chairman Shaibu Aifai said the situation in the district was worse.


“The system is paralysed and has terribly escalated the suffering of porters,” he noted.
Mr Protence Rwiza, the Masasi and Mtwara Cooperative Union (Mamcu) general manager, said the payment made to farmers wasn’t correlating with a total of 61,000 tonnes verified during the process.


“We should be talking about over Sh200 billion; what has been paid is too small. We have since requested reconciliation of figures from the government,” he said.

The government opted to purchase cashew nuts this season after locking out private buyers who had entered into a nasty price dispute with farmers during the first auctions.
Hii sasa ni dhuluma ya wazi..
Jamaa ni kichaa kabisa.
 
Pengine ikulu sio mahali patakatifu tena kama nyerere alivyowahi kusema mimi “sikuchaguliwa na wananchi kufanya ikulu kuwa pango la wezi na wanyang`anyi“ sasa naanza kuona tuna aina nyingine ya uyanyang`anyi ambao unawakandamiza wananchi,wafanya biashara,makampuni n.k kwa manufaa ya kiongozi mmoja anayetumia ikulu vibaya
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa wavuvi wa ziwa Victoria, Tanganyika na bahari kuu watu wamenyanyaswa. Wamenyang'anywa vitu vyao na kufirisiwa kabisa, na walipomlalamikia akawaambia ndiyo maana amewapa waziri kichaa kama yeye. Wavuvi wana hali mbaya.

Leo korosho ni dhuluma as usual. Ningekuwa Majaliwa ningejiuzulu kuwaunga shangazi zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhuluma ya waziwazi
Serikali ya CCM inadhulumu wananchi mali yao bila aibu!!!

Hawa wananchi wenye korosho hawakuiba hizo korosho, ni mali yao halali, walinunua kwa wakulima kwa makubaliano halali sasa Serikali kwa nini inadhulumu korosho zao?
Msimu ujao wa mavuno wananchi watapata tabu sana maana hakuna mtu atakubali kwenda kununua korosho Kwa wakulima.
 
Nashauri tutunze vielelezo vya mauzo ya korosho uenda tukapata kiongozi mwingine akatulipa fedha zetu.

Mnatutesa, tunadhulumika, naamini hamna hatakaetaka utawala wa namna hii, na Mungu wakweli atatusimamia. Haiwezekani mtu tumchague halafu aje akudhulumu mali zako hii haipo.

Msimu ujao tazuia tu moto shamba langu, niangalie mwelekeo wa kilimo hiki.
Kwenye kikokotoo ulisema jifikirie ungekuwa wewe, kwenye korosho ni vipi usijifikirie?

Mashamba uji kukagua, na ukikagua haulipi, maneno tu, mara umelipa 230bilioni, mara akaunti 191 nazifunga, Nani kakuambia tunahitaji matangazo, kwa korosho unatakiwa uwe na kadri ya 1trilioni ndio ushughlike na korosho, sasa unaanza kuangaika mapema mno.

Wasafirisha toka maghala ya msingi ujawalipa. Madai wameleta na barua zao wote zina akaunti unawaambia leteni akaunti tena.

Lipa korosho, au turudishie korosho zetu, na bora bei ya 2000 ya mhindi kuliko kusumnbuliwa na kudhulimiwa.
 
Kama serikali haina hela ya kununua korosho iwaachie wenye korosho korosho zao hata wakiamua kuzikaanga na kuzila maadamu ni zao wawaache!!!!.
Unyang'anyi na Ugangster dhidi ya raia na mali zao siyo heshima kwa mtawala ni aibu isiyo na kifani!!
Kwa nini wasiwaache watu wa kusini waendelee na utaratibu wao kama zamani, Faida ilikuwepo kuliko kero hii.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Msimu ujao wa mavuno wananchi watapata tabu sana maana hakuna mtu atakubali kwenda kununua korosho Kwa wakulima.
Na hii ya kununua kwa mtu binafsi ilikuwa njia nzuri tu hakuna kuzungushana una Pima unapata pesa unafanya mahitaji yako kuliko kusubiri serikali ikulipe. Kusini ilikuwa msimu wa korosho ukipeleka biashara pesa ipo kwa Sasa hakuna kwa kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom