Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,014
Nashauri tutunze vielelezo vya mauzo ya korosho uenda tukapata kiongozi mwingine akatulipa fedha zetu.
Mnatutesa, tunadhulumika, naamini hamna hatakaetaka utawala wa namna hii, na Mungu wakweli atatusimamia. Haiwezekani mtu tumchague halafu aje akudhulumu mali zako hii haipo.
Msimu ujao tazuia tu moto shamba langu, niangalie mwelekeo wa kilimo hiki.
Kwenye kikokotoo ulisema jifikirie ungekuwa wewe, kwenye korosho ni vipi usijifikirie?
Mashamba uji kukagua, na ukikagua haulipi, maneno tu, mara umelipa 230bilioni, mara akaunti 191 nazifunga, Nani kakuambia tunahitaji matangazo, kwa korosho unatakiwa uwe na kadri ya 1trilioni ndio ushughlike na korosho, sasa unaanza kuangaika mapema mno.
Wasafirisha toka maghala ya msingi ujawalipa. Madai wameleta na barua zao wote zina akaunti unawaambia leteni akaunti tena.
Lipa korosho, au turudishie korosho zetu, na bora bei ya 2000 ya mhindi kuliko kusumnbuliwa na kudhulimiwa.
umeandika ukweli mtupu japo wapo watu wanashinda mchana kutwa kuandika na kusifia ujinga wowote. ukweli ni kwamba hili la korosho huyu bwana limemshinda kilichobaki ni siasa tu... kama kungekuwa na media zenye nguvu zingeandika namna swala hilo linavyoendeshwa kisiasa .kumuumbua mnyapara huyu