Hii ni changamoto kubwa, pale Benjamin Mkapa building pia hawa watoto wapo wengi, naamini wahusika wanawaona ila sijajua nini kinafanyika kwa ajili ya hao watoto.
Yalisemwa haya.
"Hali mpya nguvu mpya, maisha bora kwa kila mtanzania." CCM Oyeee! Ni miaka 51 ya maisha bora kama haya, je tuko tayari kwa 49 mingine chini ya utawala huu?
hivi kweli wakuu wanaona haya au hawapiti mitaa hii? kwanini serikali haiweki shelter house za kusaidia kwani kazi ndio haiezi kutoa
Hebu safari hii sherehe za CCM wasifanye na pesa yake wasaidie familia kama hizi kueza jisaidia
kila leo eti tunaambiwa kilimo kwanza lakini huyo mkulima ana nini cha kumuezesha kuishi kama walivyo watu wa mjini?
hakuna shule
hakuna matibabu
hakuna barabara
wanakopwa mazao yao
halafu eti bakieni vijijini ndio tatizo wanakuja mjini sina hata la kusema
.........kila leo eti tunaambiwa [COLOR=#ff0000 said:
kilimo kwanza [/COLOR]lakini huyo mkulima ana nini cha kumuezesha kuishi kama walivyo watu wa mjini?.....
.....halafu eti bakieni vijijini ndio tatizo wanakuja mjini sina hata la kusema
Mwalimu mmoja aliwahi uliza swali "Kwa nini Kilimo Tanzania kiko nyuma????" Mwanafunzi wake akajibu "Kwa sababu Kilimo ni uti wa mgongo, na uti wa mgongo lazima uwe nyuma"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.