Half Mtanzania na Figure Skating kwenye Olympic

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Figure+Skating+Day+3+DZuCyFJbI4xl.jpg
 
Anawakilisha nchi gani huyu? France? nadhani nilimuona jana akifanya vitu vyake lakini kuna Wachina (mke na mume) ambao baada ya kuretire wameamua kurudi tena wanapewa nafasi ya juu kuchukua Gold medal.
 
Huyu ni kijana Robin Szolkowy,ni half Germany half Tanzanian,baba yake alikutana na mama yake ,wakati baba yake alikuwa medical student huko Ujerumani mashariki.Inasemekana baba yake aliondoka kurudi bongo kabla yeye hajazaliwa,kwa mara ya kwanza walikutana 2008 huko Vienna.May be wadau mnajua dataz hapa ,atakuwa dr nani ?Yeye na Aliona ni hot couple katika game hii!
 
Wabongo bana kwa kujitilia ndimu, hawajambo. Sasa huyo mjerumani anawahusuni?
 
Figure skating ni kama golf,au tennis ni michezo ambayo weusi hawaingii sana.Ndio maana akina Tiger Woods,Jo Tsonga etc wanaheshimiwa kwa kuvuka mipaka na excel michez0.

Abdulhalim huwezi ukadiscount asili ya mtu,hata wewe unaweza kuwa na passport ya nchi yoyote,lakini huwezi kusahau asili ya baba yako.you know Obama ni Mkenya?
 
Na si ajabu iko siku akaamua kushuka Bongo ili akaone nchi aliyotoka Baba yake.
 
Abdulhalim huwezi ukadiscount asili ya mtu,hata wewe unaweza kuwa na passport ya nchi yoyote,lakini huwezi kusahau asili ya baba yako.you know Obama ni Mkenya?

Meticulously speaking, hakuna mtu anayeitwa Abdulhalim. 'Abdulhalim' follows a social convention of naming in context of social oversimplification. In the same way, hakuna nchi inayoitwa Tanzania, na hakuna mtu anayeweza kunithibitishia kuwa ana asili ya Tanzania.
 
Wabongo bana kwa kujitilia ndimu, hawajambo. Sasa huyo mjerumani anawahusuni?

Kama baba yake ni Mtanzania, kwa nini unamwita Mgeruman? Naona sasa wewe unaFULIA.

Kwanza unafahamu sheria za hawa Wajeruman juu ya watoto? Wanalalamikiwa sana hadi na wenzao kwamba, kila kinachozaliwa kwao, bila kujali baba au mama basi wanadai ni chao. Hivyo inabidi labda kijana akue na aanze kujitambulisha kama Mtanzania. Damu yetu hapo inatembea kijana. Juzijuzi jamaa mmoja kaniambia kuwa alikutana na mtoto wa Jaji mmoja ambaye alikuwa kaja Tz kumuona baba yake. Akina Obama wako wengi na hasa wanaokulia maisha ya shida mbali na baba au mama......
 
Personal life
Szolkowy was born in Greifswald, Mecklenburg-Vorpommern, East Germany. His mother, a nurse, met his father, a Tanzanian medical doctor, when the latter was a student in Greifswald. Although Robin had seen photos of his father, the two did not meet until March 2008, in Vienna, Austria.[3] Szolkowy began skating when he was 4 years old. Originally a singles skater, he switched to pairs when he was 16.

Savchenko is Szolkowy's third skating partner. His first was Johanna Otto, followed in 1997 by Claudia Rauschenbach, daughter of 1980 Olympic gold medalist Anett Pötzsch. Rauschenbach and Szolkowy won the German Junior National pair title three times and the 2001 senior German National pair title, but never placed higher than ninth at Junior Worlds. Their coach was Monika Scheibe.
[edit] Partnership with Savchenko

After Rauschenbach retired, Szolkowy was unable to find a new skating partner for a year and a half. During this forced hiatus, he participated in synchronized skating in an effort to maintain some of his skills. In May 2003, Szolkowy's coach, Ingo Steuer, brought Savchenko, the 2000 World Junior Pair Champion (with Stanislav Morozov), from her native Ukraine to Chemnitz, Germany for what would be a successful try-out with Szolkowy. Three months later, Savchenko relocated to Germany; the pair began training in earnest and won their first major competition, the 2004 German Nationals, little more than five months later.
In 2004, during their first season together, Savchenko and Szolkowy won the German National pair title. The two made their international debut as a team at the start of the 2004-2005 season. They again won the German National pair title, placed fourth at 2005 European Figure Skating Championships with 158.73 points and sixth at the 2005 World Figure Skating Championships earning 169.02 points.
[edit] 2005-2006 season

During the 2005-2006 season, the pair earned their first ISU Grand Prix gold medal, at Skate Canada, where they won both the short program and free skate to score a total of 175.60 points. They won the bronze medal Grand Prix Final, scoring 180.10 points.
Savchenko and Szolkowy won their third German National title.
They placed second at 2006 European Figure Skating Championships receiving a total of 188.08 points, 7.79 behind Tatiana Totmianina & Maxim Marinin. Savchenko was given the German citizenship on December 29, 2005. That allowed the pair to compete in the 2006 Winter Olympic Games, where they finished sixth with 180.15 points. They also placed sixth at 2006 World Figure Skating Championships some weeks later, where they earned 170.08 points overall.

The next season, Savchenko and Szolkowy placed third at the 2006 Cup of China and won the 2006 Cup of Russia. getting qualified to the 2006-2007 Grand Prix Final, held in Saint Petersburg, where they finished second earning a total of 180.67 points, 22.52 behind Shen Xue and Zhao Hongbo, who won gold.
In January 2007, they won their fourth German National pair title.
Savchenko and Szolkowy also won their first European pair title in the 2007 European Figure Skating Championships, becoming the first German pair skaters to win a European title in 12 years, since their coach, Ingo Steuer, won Europeans with his partner, Mandy Wötzel, in 1995.[4] They won the short program with 65.38 points, even if Savchenko fell in the throw triple flip. In the free skate they set new personal bests for their earning 134.01 points skating to the soundtrack of the film The Mission.[5] The team also got a new personal best for combined total scoring 199.39 points overall, finishing 19.78 ahead of silver medalists Maria Petrova & Alexei Tikhonov.
In the 2007 World Championships, held in March 2007, Savchenko and Szolkowy earned their first World Championship medal, a bronze. they earned a new personal best for their short program of 67.65 points, placing second in that segment of the competition. They finished third in the free skate with a score of 119.74 points. Overall they scored 187.39 points, 16.11 points behind gold medalists Shen Xue and Zhao Hongbo. At the end of the 2006-2007 season, Savchenko and Szolkowy ranked third on the International Skating Union's World Standings.
 
Figure skating ni kama golf,au tennis ni michezo ambayo weusi hawaingii sana.Ndio maana akina Tiger Woods,Jo Tsonga etc wanaheshimiwa kwa kuvuka mipaka na excel michez0.

Abdulhalim huwezi ukadiscount asili ya mtu,hata wewe unaweza kuwa na passport ya nchi yoyote,lakini huwezi kusahau asili ya baba yako.you know Obama ni Mkenya?

Ukiangalia kwa undani karibia kila mtu ana asilia ya sehemu nyingi. Kwa hiyo siyo kila kitu kutafuta sifa rahisi. Jamaa ana wakilisha Ujerumani. je kuna mu huko ambae hata ana utaja "Utanzania" wake? Kama "Utanzania" wake hautajwi basi tuji vunie nini sasa? Na kwa taarifa tu ni kwamba kila mtu mchanganyiko kuna upande anaojivunia na kuassociate nao zaidi. Je ana jivunia hata huo "Utanzania"?
 
Wabongo bana kwa kujitilia ndimu, hawajambo. Sasa huyo mjerumani anawahusuni?

nimecheka mkuu!

i think is another way of motivating people that they can be anybody! you know non-tanzanians say we lack self confidence!
 
Na si ajabu iko siku akaamua kushuka Bongo ili akaone nchi aliyotoka Baba yake.

svizuri kama mzee anajua ana-kijana; mwaka juzi professor mmoja SUA alifuatwa na mtoto wake, mtoto copy right, rangi nyeupe pe! baba alikuwa hajui ana mtoto nje, mama mtu alificha kabisa hakutaka kijana amjue baba yake, kijana kakua kaanza kutafuta aliyemleta duniani! watoto noma! watakupata tu, damu inavuta.

prof aliduwaa! kijana alipokelewa vizuri na alizipenda sana bamia na dagaa!
 
Ukiangalia kwa undani karibia kila mtu ana asilia ya sehemu nyingi. Kwa hiyo siyo kila kitu kutafuta sifa rahisi. Jamaa ana wakilisha Ujerumani. je kuna mu huko ambae hata ana utaja "Utanzania" wake? Kama "Utanzania" wake hautajwi basi tuji vunie nini sasa? Na kwa taarifa tu ni kwamba kila mtu mchanganyiko kuna upande anaojivunia na kuassociate nao zaidi. Je ana jivunia hata huo "Utanzania"?

Tatizo letu kubwa ni kuzaa na kutelekeza we dont play role in raising those kids until when they become famous then we start point fingers on them oh you know he/she is a Tanzania or wherever any African country be it.
 
Swala gumu sana hili mkuu, lakini what is problem

kufanya mapenzi,
kubeba mimba(wanawake),
kutelekeza(sababu ni nini?),
kutotumia kinga?
 
Tatizo letu kubwa ni kuzaa na kutelekeza we dont play role in raising those kids until when they become famous then we start point fingers on them oh you know he/she is a Tanzania or wherever any African country be it.

Mkuu Mvina hapa inawezekana kabisa jamaa alikuwa hajui kama kaacha mimba, lakini si ajabu ukweli utafahamika hivi karibuni maana mama wa huyu kijana kama akiamua kuzungumza anaweza kuuweka ukweli hadharani.
 
nimecheka mkuu!

i think is another way of motivating people that they can be anybody! you know non-tanzanians say we lack self confidence!

I agree kwamba, mafanikio ya huyu MJERUMANI yanaeza kuwainspire waTz kwamba wanaweza kufanya mambo makubwa, lakini its pity kama tunaweza kuacha kujifunza ktk mafanikio yake na kuanza kujivunia utanzania wa huyu MJERUMANI badala ya kuangalia nini twaweza jifunza kutoka kwake.
 
Ukiangalia kwa undani karibia kila mtu ana asilia ya sehemu nyingi. Kwa hiyo siyo kila kitu kutafuta sifa rahisi. Jamaa ana wakilisha Ujerumani. je kuna mu huko ambae hata ana utaja "Utanzania" wake? Kama "Utanzania" wake hautajwi basi tuji vunie nini sasa? Na kwa taarifa tu ni kwamba kila mtu mchanganyiko kuna upande anaojivunia na kuassociate nao zaidi. Je ana jivunia hata huo "Utanzania"?
Angalia hapa uone wanasema baba yake anatoka wapi na ni nani!!

[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Robin_Szolkowy[/ame]

Anajitahidi hadi kuweka radha ya Ki-Africa na bado hamumtaki, looo!! Si alienda mwenyewe kumuona baba yake? Nimeandika sheria kali za kukatalia watoto wanazotumia German naona hukusoma. Usije ukafanya kosa ukafunga ndoa na mtoto wao, mkiichana naye, bila kujali wewe ni Mwanaume au Mwanamke, mtoto anabaki German. Jamaa hawazai na kila kikizaliwa kichanga chenye damu yao, basi hicho ni chao....
340x_custom_1266221121863_domninaaborig.jpg
 
Angalia hapa uone wanasema baba yake anatoka wapi na ni nani!!

http://en.wikipedia.org/wiki/Robin_Szolkowy

Anajitahidi hadi kuweka radha ya Ki-Africa na bado hamumtaki, looo!! Si alienda mwenyewe kumuona baba yake? Nimeandika sheria kali za kukatalia watoto wanazotumia German naona hukusoma. Usije ukafanya kosa ukafunga ndoa na mtoto wao, mkiichana naye, bila kujali wewe ni Mwanaume au Mwanamke, mtoto anabaki German. Jamaa hawazai na kila kikizaliwa kichanga chenye damu yao, basi hicho ni chao....
340x_custom_1266221121863_domninaaborig.jpg

Who does he consider himself to be? Kwani kumuona baba ake ndiyo kuukubali utanzania?
 
Who does he consider himself to be? Kwani kumuona baba ake ndiyo kuukubali utanzania?

Naona huwafahamu Wazungu wewe.

Akifanya kitu cha aibu utashangaa watakavyompamba kuwa ni Mtanzania kafanya hivi au kile.

Freddy Mercury, mwimbaji wa kundi la Queen alipokufa UK, magazeti yakaandika "MTANZANIA AFA KWA UKIMWI". Kuna Utanzania wa damu na Utanzania wa makaratasi. Mie hapa leo nina makaratasi ya Botswana (hihiiii), ila kwa damu bado ni Mtanzania.
 
Salam kwako mzee wa Saikong,

kumbe mzee wewe hii sheria ya dual citizenship inavyopigwa danadana hupati tabu kabisa manake uliyopenya penya hadi umekamata makaratasi ya Botswana!!

Btw: watu wengine huwa hawataki kukubali kukiri ukweli mdomoni,ingawa akilini anakusoma vizuri sana.Unajua kuna watu wasioweza kujitambulisha utanzania wao wakishavuka mipaka ya ubalozi wao wa nyumba kumi, kwahiyo achana nao ndivyo waliyo.

Hivi ule mpango wa kuingia kilingeni kupambana na Saidi Nkumba bado upo au umetupa kule!
 
Back
Top Bottom