Figure skating ni kama golf,au tennis ni michezo ambayo weusi hawaingii sana.Ndio maana akina Tiger Woods,Jo Tsonga etc wanaheshimiwa kwa kuvuka mipaka na excel michez0.
Abdulhalim huwezi ukadiscount asili ya mtu,hata wewe unaweza kuwa na passport ya nchi yoyote,lakini huwezi kusahau asili ya baba yako.you know Obama ni Mkenya?
Abdulhalim huwezi ukadiscount asili ya mtu,hata wewe unaweza kuwa na passport ya nchi yoyote,lakini huwezi kusahau asili ya baba yako.you know Obama ni Mkenya?
Wabongo bana kwa kujitilia ndimu, hawajambo. Sasa huyo mjerumani anawahusuni?

Na si ajabu iko siku akaamua kushuka Bongo ili akaone nchi aliyotoka Baba yake.
Ukiangalia kwa undani karibia kila mtu ana asilia ya sehemu nyingi. Kwa hiyo siyo kila kitu kutafuta sifa rahisi. Jamaa ana wakilisha Ujerumani. je kuna mu huko ambae hata ana utaja "Utanzania" wake? Kama "Utanzania" wake hautajwi basi tuji vunie nini sasa? Na kwa taarifa tu ni kwamba kila mtu mchanganyiko kuna upande anaojivunia na kuassociate nao zaidi. Je ana jivunia hata huo "Utanzania"?
Tatizo letu kubwa ni kuzaa na kutelekeza we dont play role in raising those kids until when they become famous then we start point fingers on them oh you know he/she is a Tanzania or wherever any African country be it.

nimecheka mkuu!
i think is another way of motivating people that they can be anybody! you know non-tanzanians say we lack self confidence!
Angalia hapa uone wanasema baba yake anatoka wapi na ni nani!!Ukiangalia kwa undani karibia kila mtu ana asilia ya sehemu nyingi. Kwa hiyo siyo kila kitu kutafuta sifa rahisi. Jamaa ana wakilisha Ujerumani. je kuna mu huko ambae hata ana utaja "Utanzania" wake? Kama "Utanzania" wake hautajwi basi tuji vunie nini sasa? Na kwa taarifa tu ni kwamba kila mtu mchanganyiko kuna upande anaojivunia na kuassociate nao zaidi. Je ana jivunia hata huo "Utanzania"?
Angalia hapa uone wanasema baba yake anatoka wapi na ni nani!!
http://en.wikipedia.org/wiki/Robin_Szolkowy
Anajitahidi hadi kuweka radha ya Ki-Africa na bado hamumtaki, looo!! Si alienda mwenyewe kumuona baba yake? Nimeandika sheria kali za kukatalia watoto wanazotumia German naona hukusoma. Usije ukafanya kosa ukafunga ndoa na mtoto wao, mkiichana naye, bila kujali wewe ni Mwanaume au Mwanamke, mtoto anabaki German. Jamaa hawazai na kila kikizaliwa kichanga chenye damu yao, basi hicho ni chao....
Who does he consider himself to be? Kwani kumuona baba ake ndiyo kuukubali utanzania?
Naona huwafahamu Wazungu wewe.
Akifanya kitu cha aibu utashangaa watakavyompamba kuwa ni Mtanzania kafanya hivi au kile.
Freddy Mercury, mwimbaji wa kundi la Queen alipokufa UK, magazeti yakaandika "MTANZANIA AFA KWA UKIMWI". Kuna Utanzania wa damu na Utanzania wa makaratasi. Mie hapa leo nina makaratasi ya Botswana (hihiiii), ila kwa damu bado ni Mtanzania.