Halafu ndio una PS3 na CDs kama GOW, FIFA, CALL OF DUTY na series kama The Last Ship, Power etc.

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
uploadfromtaptalk1469288802035.png
 
nimekuelwa sana, hiyo starehe yake si mchezo, lunch unaweza kuiona 1 am...
Kuna dogo alishawahi kufa sababu ya kuwa too addicted na hizi mambo...yana athari kubwa
Ni balaa mkuu, jack Bauer alikua ananifanya nikeshe na TV mpaka asubuhi, yaan ukiwa gamer au muvi addict hata msos unaweza usizingatie
 
Ni balaa mkuu, jack Bauer alikua ananifanya nikeshe na TV mpaka asubuhi, yaan ukiwa gamer au muvi addict hata msos unaweza usizingatie
daah movie sidhani...mie nacheck series,lakin mishe napiga kama kawa...sema sometime naweza tia pouse moja matata siku tatu,ili nikija nianzie hapo...harufu desgn nakesha muda mwingine kama popo...harafu asubuhi ndio mzingoni...!hatari sana
 
PS 3??

Mkulu, vuta PS 4 au Xbox One apo

Huku Uncharted, kule GTA 5, nikikohoa FIFA hii hapa, nikicheua Hitman huyu apa

Acha kabisa, kipunguza stress namba moja
 
daah movie sidhani...mie nacheck series,lakin mishe napiga kama kawa...sema sometime naweza tia pouse moja matata siku tatu,ili nikija nianzie hapo...harufu desgn nakesha muda mwingine kama popo...harafu asubuhi ndio mzingoni...!hatari sana
Ni shida mkuu
 
Back
Top Bottom