Halafu huyu Mwalimu hajapandishwa daraja wala mshahara,daah aisee

Huyo mwalimu atakuwa miongoni mwa wale waliokuwa wanaandamana kumpongeza mkulu kwa kikokotoo
 
Ananikumbusha Engineer fulani jina kapuni. Yeye ni meneja wa wakala wa ufundi na umeme (TEMESA) mkoa fulani, mwaka jana July alikuja dar akapitia mahali akachukua kalenda kwaajili ya watumishi wake na ofisi sasa alikuja kwa mguu nikajua atakodi tax baada ya kukabidhiwa ule mzigo, àkaanza kuuchapa wa mguu na mzigo mkononi kama si kwapani.
Kuna watu ni vichaa sana
Na mie nimeshangaa mbona wenzie huwa wanawapa wanafunzi wawasaidie kubeba hizo daftari mpaka Ofisini.

Atakuwa mchekeshaji huyu.
 
Ananikumbusha Engineer fulani jina kapuni. Yeye ni meneja wa wakala wa ufundi na umeme (TEMESA) mkoa fulani, mwaka jana July alikuja dar akapitia mahali akachukua kalenda kwaajili ya watumishi wake na ofisi sasa alikuja kwa mguu nikajua atakodi tax baada ya kukabidhiwa ule mzigo, àkaanza kuuchapa wa mguu na mzigo mkononi kama si kwapani.
Kuna watu ni vichaa sana
Umeonaeee. Wasisingizie Ualimu wakati hapo mwenye shida ni Mwalimu mwenyewe.

Huyo jamaa ni Hatari. Sasa hapo alimkomoa nani?
 
Sijui alikuwa anamkomoa nani!!!
Mimi nikamuuliza vipi bosi mbona mzigo mkubwa uko mikononi akajibu "Sisi wahandisi hatuna shida, huu mzigo lazima ufike" akatokomea kwa mguu

Uuwiii. Na huyo hana tofauti na huyo Ticha hapo pichani. Wakiekwa wanaiva chungu kimoja.
 
Ukimuuliza utamsikia mimi mwalimu wa sayansi yaani nina akili nyingi. Anashindwa kusema kuwa yeye ni mwalumu wa historia ya sayansi. Maana wanasayansi ni watu makini ndomaana kila leo hufanya innovation
Uuwiii. Na huyo hana tofauti na huyo Ticha hapo pichani. Wakiekwa wanaiva chungu kimoja.
 
Ananikumbusha Engineer fulani jina kapuni. Yeye ni meneja wa wakala wa ufundi na umeme (TEMESA) mkoa fulani, mwaka jana July alikuja dar akapitia mahali akachukua kalenda kwaajili ya watumishi wake na ofisi sasa alikuja kwa mguu nikajua atakodi tax baada ya kukabidhiwa ule mzigo, àkaanza kuuchapa wa mguu na mzigo mkononi kama si kwapani.
Kuna watu ni vichaa sana
$😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom