Halafu huyu Mwalimu hajapandishwa daraja wala mshahara,daah aisee

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
23,410
36,559
FB_IMG_1547375512309.jpg
 
Waache wataabike maana na wenyewe wana mchango mkubwa sana katika kuweka serikali hii madarakani. Juzijuzi walianza kujitambua lakini Jiwe alipokuja na filamu ya kikokotoo, haoooo wakarudi kulekule kuunga mkono juhudi
 
Kwani kalazimishwa na nani kubeba mizigo hii ambayo haikuwa na sababu za msingi kubebwa hivi ?
Kama si movie basi ni kichaa huyu
Na mie nimeshangaa mbona wenzie huwa wanawapa wanafunzi wawasaidie kubeba hizo daftari mpaka Ofisini.

Atakuwa mchekeshaji huyu.
 
Back
Top Bottom