Mjanja mjanja tu. Asingekuwa raisi bila figisu, raisi angekuwa salimu au mwandosya.
Kanacheka huku kanakufyeka. Aliharibu mchakato wa katiba na kura za maoni za uraisi za ccm 2015.
Wezi alikuwa anahamisha badala ya kufukuza. Alifuga mafisadi haijawahi tokea TZ .
RIP magu ulimfunika Jk kwa miaka mitano tu na kuonyesha ombwe la kiutala.
Sikuwahi sikia ma ajali ya hovyo kipindi cha Jiwe wala albino
kuuwawa.
ALITUPIGA SANA ALIPOWAKABIDHI BANDARI YETU WASHIHIRI WA HOME SHOPPING CENTRE!! WALIKUWA WANAINGIZA MAKONTENA BILA KULIPA KODI NA MKWERE ALIKUWA ANACHUKUA MSHIKO WAKE KWAO!!!Alitupiga kwenye dowans
kuna li mtu limekulia mashambani huko GAMBOSHI lichunga ng'ombe ngoja nitarudi.
Yeereeeeeh!
Kamwe katika historia ya Tanzania hakutawahi kutokea Rais kama JK. Alikuwa mtu wa watu mpole wakati wote. Vijana wa TISS na UVCCM walikuwa wanamrukia hadi mabegani. Ndie rais wa kwanza Tanzania kuvaa jeans na Tshet hadharani. Hatutawahi kumpata kama JK.
Wezi wa vyeti na forgery.JPM alifukuza wezi wangapi?
Kwa hiyo kujua ufisadi wa escrow na richmond kumetusaidia nini? Yaani rais mwizi kama wizi wa escrow ni rais bora kuliko aliyethubutu kujenga Nyerere HP, kupanua viwanja vya ndege, kujenga hospital kwa wingi nk.Mimi nasema kila siku kama Jakaya nae angeamua kuishi kama JPM angekuwa raisi ambae tusingetamani atoke madarakani
Namaanisha angebana uhuru wa habari, kuwaminya wapinzani kuzuia bunge kuruka mbashara
Leo hakuna mtu angejua ufisadi wa Escrow, Richimond, IPTL nk maana uwazi pia usingekuwepo, kupindi cha Jakaya watu walipiga sawa ila kulikuwa na uwazi wakipiga leo kesho raia tunajua
Ila kwa huyu alietangulia mbele za haki watu wamepiga kweli kweli ila hakuna uwazi unadhani wananchi hawa masikini wa kila kitu (wanyonge) na hii elimu bure kabisa kichwani mwao wangejuaje zaidi ya kuimba mapambio
Kwa Jakaya miaka kumi yake hela walizopiga hazifikiiii hizi za JPM kwenye hii miaka yake mitano
Kwa kuvaa Tshrt na Jeans ama ?😁Kikwete will be the best Present ever
Wezi wa vyeti na forgery.
Hiyo JKHP imekamilika, hivyo viwanja wa denge wewe maskini (mnyonge) vinakuhusu na hizo hospitali zina wahudumu na madawa? kiukweli hata mimi nashindwa kuielewa akili yakoKwa hiyo kujua ufisadi wa escrow na richmond kumetusaidia nini? Yaani rais mwizi kama wizi wa escrow ni rais bora kuliko aliyethubutu kujenga Nyerere HP, kupanua viwanja vya ndege, kujenga hospital kwa wingi nk.
Sijaielewa akili yangu.
Mkuu katika utawala wa Nyerere ulikuwa na umri gani? Au unaongea kisiasa?JK - Julius Kambarage
JK - Jakaya Kikwette
Wote hao walikuwa maridadi kabisa. Hawa ndiyo wazee wa legacy.
Au nasema uongo ndugu zangu?