Hakutawahi kutokea Tanzania Rais kama Mzee Kikwete

Huyu jamaa amekulia Royal family nafikiri baba yake alikua DC those days hivyo hakuwa na ushamba wala ulimbukeni.
Tizama hata Uhuru Kenyatta alikulia Royal Family angalia alivyo na tabia za kigentlemen hana ushamba wala ulimbukeni.
Angalia JKN babake alikua chief hivyo pia ni Royal family by then Mwangalie alivyokua Jentomeni
The same to Mkapa !!!!

nenda kaulize kenya nini kinaendelea.

jpm alivaa combat mkamsema sana.
kenyata anavaa mpaka nyota 5 za field marshal.

wakati mwingine unamuona mtu vile akili yako inataka umuone.
 
Yeereeeeeh!

Kamwe katika historia ya Tanzania hakutawahi kutokea Rais kama JK. Alikuwa mtu wa watu mpole wakati wote. Vijana wa TISS na UVCCM walikuwa wanamrukia hadi mabegani. Ndie rais wa kwanza Tanzania kuvaa jeans na Tshet hadharani. Hatutawahi kumpata kama JK. View attachment 1758622
Ila usisahau kuwa matokeo ya ulichokiandika ni kuwepo ile kashfa ya Richmond,EPA,Escrow, ujambazi mwingi,na kupeleka hatari ya kukabizi nchi kwa wapinzani.
 
nenda kaulize kenya nini kinaendelea.

jpm alivaa combat mkamsema sana.
kenyata anavaa mpaka nyota 5 za field marshal.

wakati mwingine unamuona mtu vile akili yako inataka umuone.
Kuvaaa kombati kwa kenyata hakufuti kua amekulia royal family na sio mshamba kama mungu wenu kinya ni gentlemeni hakukurupuka wala kujiona Mungu sisi tupo mpakan Namanga tunaijua kenya vyema yan Uhuru bonge LA president sio mshamba wala limbukeni
 
sisi tunaongea na kuishi na wakenya kujua ni rais yupi amelifaa taifa lake.

kama ushamba na ujanja ni sifa ya msingi basi ni kuanzia hapo namanga boda.
 
sisi tunaongea na kuishi na wakenya kujua ni rais yupi amelifaa taifa lake.

kama ushamba na ujanja ni sifa ya msingi basi ni kuanzia hapo namanga boda.
Ni dhambi kubwa kumfananishi Kenyata na Mungu wenu tofauti ni kubwa mno
 
Yeereeeeeh!

Kamwe katika historia ya Tanzania hakutawahi kutokea Rais kama JK. Alikuwa mtu wa watu mpole wakati wote. Vijana wa TISS na UVCCM walikuwa wanamrukia hadi mabegani. Ndie rais wa kwanza Tanzania kuvaa jeans na Tshet hadharani. Hatutawahi kumpata kama JK.

Mjanja mjanja tu. Asingekuwa raisi bila figisu, raisi angekuwa salimu au mwandosya.
Kanacheka huku kanakufyeka. Aliharibu mchakato wa katiba na kura za maoni za uraisi za ccm 2015.
Wezi alikuwa anahamisha badala ya kufukuza. Alifuga mafisadi haijawahi tokea TZ .
RIP magu ulimfunika Jk kwa miaka mitano tu na kuonyesha ombwe la kiutala.
Sikuwahi sikia ma ajali ya hovyo kipindi cha Jiwe wala albino
kuuwawa.
 
Back
Top Bottom