Hakutakuwa na foleni Dar iwapo yafuatayo yatafanyika...

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Screenshot_20210410-075817_Office Mobile.jpg

Opinion ya CAG iliangazia miradi hii iliyopo ya kupunguza foleni Dar?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Screenshot_20210410-075817_Office Mobile.jpg
 
MATAGA mmepatwa na kiwewe.

Pambio mfululizo niaka 5 limewalemaza kabisa, mmekuwa vibudu. Jiwe aliwashika vibaya sana.

Mambo ya brainwashing na cult-following.

Niseme tu CORONA BABA LAO. Mtu kazikwa na mavi yake. Hehehehehe
 
Sipo level ya MATAGA mimi
 
Jizi jenzio liko futi sita chini. Muliibia Tanzanians sana
Bado najiuliza na kila siku naandika humu, yule jamaa hakustahili kuzikwa kwa heshima vile.

Wangefunga ule mwili na kubebwa na helkopta kisha akatupwa mtoni kama alivyokuwa akitupa wenzie enzi za uhai wake.

Hakukuwa na ufisadi wa kutisha kama enzi zake, na yeye ndie alikuwa mwizi mkuu.

1. Ndege
2. Mradi wa kufua umene
3. Madini kutokaguliwa
4. Trilion 1.5 mpka Asad akaondolewa CAG
5. Ujenz woote kampuni zake ndo zilikuwa zinasimamia
N.k

Hastahili hata kukumbukwa katika vitabu vya historia ndani ya hili taifa.

Ndiye rais wa ajabu kuwahi kutokea ndan ya mipaka ya taifa letu.
 
Sema tunajua kuokoteza maneno
 
Back
Top Bottom