Hakuona au kiburi?!

Kimolah

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
542
709
huyu aliyekabidhiwa funguo za hili gari, hakuona hiyo alama au kiburi tu?!
image390.jpg

image389.jpg
 
Kwa DFP inaruhusiwa kwa sababu kibao kimeandikwa kwa maandishi mekundu.......DFP ndo wanaotujengea barabara kwanini asiruhusiwe kupaki....
DFP---Donor's Funded Projects
 
Kwa DFP inaruhusiwa kwa sababu kibao kimeandikwa kwa maandishi mekundu.......DFP ndo wanaotujengea barabara kwanini asiruhusiwe kupaki....
DFP---Donor's Funded Projects

DFP hiyo inadeal na kilimo, ina maana hizo road signs zina exception au?! kisa eti ni maandishi mekundu?!!! kwa hiyo hata ya "no right/left turn" one way na zinginezo ambazo ni za maandishi mekundu, DFP ruksa kutoziheshimu?? with your notion naamini hata ukiwa una gari la UN kenya (red plate-number) usitii alama ?? ..teeeh, kwa staili hiyo mtu unajitengenezea vibao vyekundu unafanya utakalo barabarani.
 
DFP 4224, hiki kiburi tu tena hawa jamaa ni second best kwa kuendesha vibaya na kutanua barabarani, wanaoongoza ni wale wa STK
 
Hakuna aliye juu ya sheria ila kiburi tu. Hakuna nchi yoyote yenye sheria mbili kwa raia wake, sheria za barabrani ni moja tu kwa magari yote
 
Inawezekana hakuwa amepaki kwani hii picha ni static na yawezekana picha ilipigwa wakati gari liko kwenye mwendo. Kama alikuwa alepaki basi tatizo kubwa la dreve ni wrong or weak coordination kati ya ubongo na macho ya dreva!
 
simuoni dereva kwenye seat mkuu... alipaki, probably ulichosema afterwards ni kweli, weak coordination kwenye ubongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom