Hakunaga.....

sakapal

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,804
1,424
Hakunaga bosi asiyekuwa na wafanyakazi wa kuwatuma

je we unafahamu hakunaga nini?
 
Sijui tunaelekea wapi na kiswahili chetu! Hakunaga!? Halafu media zetu 'zinatuaminisha' ni wimbo mzuri!
 
Waharibifu wa lugha nyie.

Sio kuharibu lugha, kisanii vitu kama hivyo vinaruhusiwa jamani, kutafuta vina, vionjo na mizani kutimia kwenye mistari ya mashairi! Hakuna ubaya! Waliosoma kiswahili kwa undani wanajua hilo!
 
hakunaga peni isiyokuwa na wino

hakunaga ndoo yenye pembe tatu

hakunaga penati isiyokuwa na golikipa

hakunaga mto wa maji chumvi......

hakunaga hakunaga
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom