Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,368
- 8,071
Hatimae leo hii Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema hakuna zuio lolote lilitolewa kuhusu Umeya na Unaibu wake katika jiji la Dar es Salaam.
Ikiwa Tarehe 27/02/2016 Jumamosi iliyopita, kaimu Mkurugenzi alitumia barua isiyokuwa halali kuzuia uchaguzi wa Mayor wa Jiji la Dar 27/02/2016 akisema ameletewa na mahakama sikupati hiyo.
Huu ujangiri wa kisiasa unaofanywa na Chama cha Majipu umechokwa.....itafika wakati raia wataamua kuchora mstari.
Magufuri yuko anaendelea kudanganya ulimwengu eti ni mzalendo wa Tz ilihali anatumia dola kufanya uharamia wa kisiasa kwa manufaa ya CCM na mafisadi wa hiki chama kilichochakaa kwa ufisadi.
Sasa wameamua kuwasaka na kuwakamata wabunge na madiwani wa UKAWA Dsm. Hadi sasa wamewakamata, kuwashikilia na kuwanyima dhamana, Mh Halima Mdee na Mh. Ephraim Kinyafu (diwani wa Kimara) na msako unaendelea.
Nguvu ya umma haishindwi.
Watatapatapa sana ila mwisho umekaribia.