Hakuna watu wavumilivu kama watu wa Darfur na Khartoum

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
6,516
2,000
Huwa kila nikiangalia joto la hali ya hewa katika miji ya darfur na khartoum siku zote ni kati ya centgrade 50c hadi 58c na kipindi cha baridi kwao ni 48c;
Kama ni kweli joto la binadamu wa kawaida ni jotoridi 37c; inawezekana watu waishio Darfur wakawa na uwezo mkubwa sana kiafya kuriko binadam yeyote kwingine duniani.!
 
dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
6,516
2,000
Joto la kwenye papuchi ni sentigredi 50 na hii ni sehemu yenye joto la kawaida kama dar es salaam..
Sasa hao madem wa huko itakuwa papuchi zao zina jotoridi nyuzi 80 mpaka 90...! Hii si hali ya kawaida Labda papuchi zao zina feni ndani
Jamani hivi nyie Binadam huwa mnawaza nini mda wote?
 
mtunzasiri

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
1,344
2,000
Huwa kila nikiangalia joto la hali ya hewa katika miji ya darfur na khartoum siku zote ni kati ya centgrade 50c hadi 58c na kipindi cha baridi kwao ni 48c;
Kama ni kweli joto la binadamu wa kawaida ni jotolidi 37c; inawezekana watu waishio Darfur wakawa na uwezo mkubwa sana kiafya kuriko binadam yeyote kwingine duniani.!
Sidhani kama joto kali ni kipimo cha uvumilivu kwa mwanadamu fikiria pia vipi wanaoishi kwenye baridi kali??
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
17,617
2,000
Asilimia mia nina hakika kuongezeka kwa hilo joto ni hivi karibuni baada ya mabadiliko ya tabia nchi.
Hatuwezi pima uvumilivu kwa kuangalia mtu anaishi kwenye eneo lenye hali ya hewa gani, kuna binadamu wanaishi maeneo ya milimani ambapo oksijeni kwa maeneo hayo huwa ndogo sana, na wanasurvive na kua wanariadha wazuri tu.

Uvumilivu upimwe ni kwa jinsi gani siasa na maendeleo yanachezewa eneo husika lakini wananchi hawajakitoa chama kilichopo madarakani kwa zaidi ya miaka 50 pamoja na madudu yote yanayotokea.
 
marcs

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
999
2,000
Aaa kumbe lakini sidhani lama joto la binadamu hupanda na kushuka kutokana na hali ya hewa ya nchi
Sina uhakika
 
Jaby'z

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
3,813
2,000
aisee hao kweli wavumilivu ila tabia ya mwili wa binadamu ni kuendana na mazingira kama huyo ukimpeleka sehemu za baridi ataona unamtesa ila baada ya muda mwili unazoea anaona kawaida
 
SALOK

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
3,140
2,000
Asilimia mia nina hakika kuongezeka kwa hilo joto ni hivi karibuni baada ya mabadiliko ya tabia nchi.
Hatuwezi pima uvumilivu kwa kuangalia mtu anaishi kwenye eneo lenye hali ya hewa gani, kuna binadamu wanaishi maeneo ya milimani ambapo oksijeni kwa maeneo hayo huwa ndogo sana, na wanasurvive na kua wanariadha wazuri tu.

Uvumilivu upimwe ni kwa jinsi gani siasa na maendeleo yanachezewa eneo husika lakini wananchi hawajakitoa chama kilichopo madarakani kwa zaidi ya miaka 50 pamoja na madudu yote yanayotokea.
Kuna harufu ya uchochezi hapa..!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom