Hakuna Wa Kutushauri.....TENA WAMEOZA

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
Nakumbuka miaka ya njuma tatizo la kitaia likitokea watu wanakimbilia butiama au mikocheni kutafuta ushauri sasa mwenye busara hayupo tutaenda wapi....siku zote au mara nyingi nchi huwa kuna mtu au kiongozi ambaye mawazo yake hayafungamani na mtu yeyote ambaye atatoa maamuzi bila kupendelea au kuwa na kificho....nimeangalia katika viongozi wetu wote hawa ambao wapo hai, sioni hata mmoja...lakini waliowafu wapo wengi......

please ni kiongozi gani au mtu yeyote maarufu unaemjua ambae anaweza kutetea maslai ya nchi hii pasipo kufungwa na itikadi ya dini,chama,kabila au maslai yake binafsi...

NITAJIE UNAEMJUA WEWE....
 
Dokta wa ukweli. Dokta aliyepita shule akafundwa. Dokta muadilifu

Dr. Wilbroad Slaa.

CCM wanamuogopa kama UKIMWI
 
Re: Hakuna Wa Kutushauri.....TENA WAMEOZA

Lowasa, Kingunge, Rostam, Malicela, Maalim Seif, na Makamba

lets be realistic here

Kuna yule mnajimu maarufu jina nimesahau! Hutoa Ulinzi na ushauri usioonekana
 
Only Dr Slaaaaaa, ila CCM............mmmmmmhhhhh:nono::nono::nono::nono: madudu, kila mtu :argue:
 
Back
Top Bottom