BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 53
Nakumbuka miaka ya njuma tatizo la kitaia likitokea watu wanakimbilia butiama au mikocheni kutafuta ushauri sasa mwenye busara hayupo tutaenda wapi....siku zote au mara nyingi nchi huwa kuna mtu au kiongozi ambaye mawazo yake hayafungamani na mtu yeyote ambaye atatoa maamuzi bila kupendelea au kuwa na kificho....nimeangalia katika viongozi wetu wote hawa ambao wapo hai, sioni hata mmoja...lakini waliowafu wapo wengi......
please ni kiongozi gani au mtu yeyote maarufu unaemjua ambae anaweza kutetea maslai ya nchi hii pasipo kufungwa na itikadi ya dini,chama,kabila au maslai yake binafsi...
NITAJIE UNAEMJUA WEWE....
please ni kiongozi gani au mtu yeyote maarufu unaemjua ambae anaweza kutetea maslai ya nchi hii pasipo kufungwa na itikadi ya dini,chama,kabila au maslai yake binafsi...
NITAJIE UNAEMJUA WEWE....