Hakuna wa kuitoa CCM . ACT Wazalendo ni mtoto mchanga , CHADEMA imechoka , CUF ni shida tupu !

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Ukweli utabaki ukweli tu.

CCM itaendelea kushika dola miaka yote.

Hawa wengine ni waoga , hawana mpango mkakati unaotekelezeka , wachovu na performance yao haionekani kabisa. Wanachofanya hakijulikani. Wao ni pinga pinga tu kila leo. Hawana jipya.

Kama huoni miradi ya barabara , maji , vituo vya afya , nishati , Reli ya Kisasa , Project ya Rufiji , Meli , Midege , Rada , Serikali kuhamia Dodoma , Elimu bure nk ulapimwe akili utoe hayo matope.
 
Nikawaida ya mtumwa kumsifia bwana wake pale anapokula akashiba.
Ni sasa na wewe naona umevimbiwa na wanzuki sasa unarohoja tu
Ukweli utabaki ukweli tu.

CCM itaendelea kushika dola miaka yote.

Hawa wengine ni waoga , hawana mpango mkakati unaotekelezeka , wachovu na performance yao haionekani kabisa. Wanachofanya hakijulikani. Wao ni pinga pinga tu kila leo. Hawana jipya.

Kama huoni miradi ya barabara , maji , vituo vya afya , nishati , Reli ya Kisasa , Project ya Rufiji , Meli , Midege , Rada , Serikali kuhamia Dodoma , Elimu bure nk ulapimwe akili utoe hayo matope.
 
Ukweli utabaki ukweli tu.

CCM itaendelea kushika dola miaka yote.

Hawa wengine ni waoga , hawana mpango mkakati unaotekelezeka , wachovu na performance yao haionekani kabisa. Wanachofanya hakijulikani. Wao ni pinga pinga tu kila leo. Hawana jipya.

Kama huoni miradi ya barabara , maji , vituo vya afya , nishati , Reli ya Kisasa , Project ya Rufiji , Meli , Midege , Rada , Serikali kuhamia Dodoma , Elimu bure nk ulapimwe akili utoe hayo matope.
miradi isiandane na umwagaji damu, vinginevyo CCM tunaweza kuzallisha wamwagaji damu wabaya dizaini ya Bokoharam, Alshabab, nk - hawa wakija nakuhakikishia hakutakuwepo cha CCM wala Chadema wala ACT wala mbumbumbu fc wala vyura fc.

ninyi endeleeni kuwachukulia Watanzania poa tu!

soma hapa uone wenye akili ya kuona mbali wanavyosema...
 
Mwambie huyo kwangu pakavu
miradi isiandane na umwagaji damu, vinginevyo CCM tunaweza kuzallisha wamwagaji damu wabaya dizaini ya Bokoharam, Alshabab, nk - hawa wakija nakuhakikishia hakutakuwepo cha CCM wala Chadema wala ACT wala mbumbumbu fc wala vyura fc.

ninyi endeleeni kuwachukulia Watanzania poa tu!
 
Mmepamba weeee! Hadi akili zimewaisha vichwani!!! Sasa hiki ndo umeandika nini we mtoto??
Ukweli utabaki ukweli tu.

CCM itaendelea kushika dola miaka yote.

Hawa wengine ni waoga , hawana mpango mkakati unaotekelezeka , wachovu na performance yao haionekani kabisa. Wanachofanya hakijulikani. Wao ni pinga pinga tu kila leo. Hawana jipya.

Kama huoni miradi ya barabara , maji , vituo vya afya , nishati , Reli ya Kisasa , Project ya Rufiji , Meli , Midege , Rada , Serikali kuhamia Dodoma , Elimu bure nk ulapimwe akili utoe hayo matope.
 
Hakika hakuna asiyekujua kuwa wewe ndiye Jinga lao
Unahitaji zaidi ya PHD kunielimisha ili niache msimamo wangu.Hili ndio jinga la majinga duniani!!
tapatalk_1567662891357.jpeg
 
CCM bila polisi na wale wasiojulikana, chama cha muheshimiwa Rungwe peke yake kinatoshakuiondoa madarakani.
 
Back
Top Bottom