TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 4,974
- 15,310
Kusema kweli mi binafsi sijawahi kua na rafiki wa kike. Lazma tu ama ntamtafuna, au akikataa nampotezea. Hua naona kama kua na rafiki wa kike ambae humli ni kama unawazibia rizki wanaume wengine ambao wana malengo naeulikula 'akiba' yake!