Hakuna urafiki wa mwanamme na mwanamke

kazi NA sala

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,719
2,000
Mkuu umeniwahi,siku za karibuni nilitaka kuweka bandiko la namna hii hapa!

Ila nyie watu acheni tuu utamuona bidada ana heshima zake + marafiki wengi wa kiume kumbe anafahamu yupi wa kumgegeda,atakayemuoa,wa kupiga hela,wa kuuzia sura + kupiga nae story...sasa unajiuliza mbona huyu dada ana msururu mwingi wa wanaume???alafu ni mlokole mlokole.

Kumbe analiwa mdogo mdogo(Haswa vyuoni) hizi tabia ni Ngaa!

Unashangaa majitu yanasema huyu dada ana roho nzuri,huwa anazungumza na kila mtu kumbe hamna kitu.

Asikwambie mtu watu wenye focus wanapitia wakati mgumu sana!
 
Chairman Lee

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
937
1,000

Kuna jamaa yangu mmoja ofisini alikuaga ana rafiki yake wa kike kila mahali wanajitanabaisha kwamba urafiki wao ni wa kawaida kabisa. Mi nikaona isiwe tabu nikatia timu kwa yule mamsi akanielewa, nikaanza kumega! Jamaa kuja kujua nashangaa kaninunia mazima hataki hata kuongea na mimi na urafiki wao ukaishia hapo.
Alimfanya huyo jamaa kama kiuzia sura chake!
 
Karma

JF-Expert Member
May 20, 2019
23,005
2,000
Huo ni msimamo wako binafsi, hongera kama umefaulu kuuishi.

Ila ....“kama hawezi kuwa rafiki wa kawaida.....” means ni conditions unazompa vs kilichomleta sio hicho, akiamua kubaki ujue anayo hope ipo siku tu.
Basi ataendelea kusubiri hiyo meli airport! Kwa sababu kitu kama hicho kwangu hakiwezi kutokea!

Mimi mwanaume kama alinianza kwa gia ya urafiki siku akinitongoza tu na urafiki unakufa hapo hapo! Na hii ndiyo sababu sina marafiki wa kiume!
 
Mokobe

JF-Expert Member
Sep 25, 2020
881
1,000
Hii dhana ya kwamba hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume sijui imetoka wapi

Mimi kama mwanaume anaona hawezi kuwa na urafiki wa kawaida na mimi apite kushoto

And this is why naonaga wanaume hawana umuhimu wowote kwenye maisha yangu

Kwa sababu sitegemei pesa ya mwanaume yeyote hivyo nami sina chochote cha kumpa
ni uamuzi mzuri tu
 
Mokobe

JF-Expert Member
Sep 25, 2020
881
1,000
Mkuu umeniwahi,siku za karibuni nilitaka kuweka bandiko la namna hii hapa!

Ila nyie watu acheni tuu utamuona bidada ana heshima zake + marafiki wengi wa kiume kumbe anafahamu yupi wa kumgegeda,atakayemuoa,wa kupiga hela,wa kuuzia sura + kupiga nae story...sasa unajiuliza mbona huyu dada ana msururu mwingi wa wanaume???alafu ni mlokole mlokole.

Kumbe analiwa mdogo mdogo(Haswa vyuoni) hizi tabia ni Ngaa!

Unashangaa majitu yanasema huyu dada ana roho nzuri,huwa anazungumza na kila mtu kumbe hamna kitu.

Asikwambie mtu watu wenye focus wanapitia wakati mgumu sana!
Vivyo hivyo kwa mwanaume mkuu atavuruga hata manispaa yote lakini anajua vizuri kabisa mke wa kuoa ni yupi
 
Mokobe

JF-Expert Member
Sep 25, 2020
881
1,000
Vipi kwa wanaume walio fixed/wanawake..nahisi huwa wanapata tabu sana!kazi yao ni kuchezewa akili tuu.
life style ya mwanamke inaweza kuonyesha yeye ni wa aina gani kwa anaeweza kuangalia tu
wife material na wa kuchezewa ni mmoja suala kuu ni yeye amesimama wapi kati ya hizo sehemu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom