Hakuna ukombozi bila sadaka.

MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
1,167
402
Kuwang'oa Mafisadi Madarakani Si Jambo Rahisi Kama Watu Wanavyofikiri!! Ni Lazima Wawepo Watu Kama Akina Mtolewa Ktk Kitabu Kimoja Cha Fasihi. Nilazima Wawepo Watu Wa Kujitoa Mhanga Maisha Yao,ni Lazima Wayatoe Sadaka Maisha Yao.Vijana Ndiyo Wenye Nguvu Ni Lazima Wayatoe Sadaka Maisha Yao Kulinda Kura Zisichakachuliwe.Nilazima Wawepo Watu Wa Kutoa Sadaka Ya Mali,pesa Na Nguvu Kazi,elimu Kwa Wasiyonayo Na Hapo Ndipo Ukombozi Utakapofanikiwa. HVY HAKUNA UKOMBOZI WA BWELELE MEZANI PASIPO KUTOA SADAKA. Ndugu Wafanyabiara Ndogondogo,mama Ntilie Na Wamachinga,waendesha Boda Boda,waalimu Mmenyanyasika Vya Kutosha.Sasa Ni Zamu Yenu Ya Kupumzishwa Na Maonevu Mnayofanyiwa Na Serikali Hii Dharimu Ya Mafisadi.Iliyoshindwa Kumwajibisha Mwizi Muhongo.NAWAOMBA MKATE SHAURI KUANZIA SASA.MTOE SADAKA ZENU TUWAPELEKE BUNGENI WABUNGE WOTE KUTOKA UKAWA KAMA TULIVYOFANYA KWENYE SERIKALI ZA MITAA.MTU MMOJA TU TUTAMCHAGUA KUTOKA C.C.M NI Rais Edward Ngoyai Lowasa Na Ole Sendeka,wengine Wote Piga Chini Weka Ukawa. Nchi Itaendelea
 
Back
Top Bottom