Hakuna uhusiano wowote kati ya demokrasia na maendeleo

Mataifa mengi yaliyowahi kuwa makoloni ni pamoja na China, Korea Kusini, India, Indonesia, Vietnam, Singapore, Brunei, Malaysia.

Haya ni baadhi ya mataifa yaliyowahi kuwa makoloni kwa muda mrefu ila yameshaachana na ujinga wa kusingizia wakoloni badala yake yanachuana kiuchumi na wakoloni wao kwa sasa.

Tatizo la Africa kudumaa kimaendeleo ni uongozi mbaya, usio na maona, unaotanguliza maslahi binafsi ya watu wachache.Tusiendelee kujificha kwenye kichaka cha ukoloni, tunaonekana wajinga tu.
Hizo nchi ulizozitaja zina uongozi gani bora, hasa hasa kabla ya kujitambua, kutambua wezi wao na kuamua kujitegemea, uongozi wao ulikuwa kama wa kwetu tu!
 
Kwa hakika, Dikteta Gaddafi aliharibu mifumo yote ya nchi na yeye akawa ndio state na state ikawa ndio yeye, hili ni tatizo kubwa sana la udikteta duniani kote na ndio maana mara nyingi madikteta wanapoondolewa hususani waliokaa madarakani kwa muda mrefu huacha ombwe na machafuko makubwa sana katika nchi zao.
We Unaonaje ya sasa ndiyo inaonesha ya gaddafi ilikuwa ya kidikteta?
 
Mleta mada ni miongoni mwa wale wanaochangia IQ ya watanzania kuwa miongoni mwa iliyo chini kabisa duniani.
 
Kwa hakika, Dikteta Gaddafi aliharibu mifumo yote ya nchi na yeye akawa ndio state na state ikawa ndio yeye, hili ni tatizo kubwa sana la udikteta duniani kote na ndio maana mara nyingi madikteta wanapoondolewa hususani waliokaa madarakani kwa muda mrefu huacha ombwe na machafuko makubwa sana katika nchi zao.

Mungu Atuokoe Afrika Akili Ziturudie Tujitambue Tujue Ni Nani Adui Yetu,
 
Sehemu kubwa ya Africa imetawaliwa bila demokrasia kuwa muda mrefu lakini Africa ndio bara maskini zaidi duniani.
Huo ni uongo wa kweupee!!
Kinyume chake ndio kweli, sehemu kubwa barani Africa inatawaliwa na serikali ambazo hazina demokrasia, au demokrasia ya kiujanjaujanja tu, ya kinafiki.
 
Ukitaka kujua faida au hasara ya demokrasia jaribu nyumbani kwako, kuwa mtemi waamulie kila kambo na usiruhusu hata mmoja kati ya mkeo ama watoto wanyenyue mdomo kukushauri kuhusu lolote lile pale nyumbani, kwa msingi kwamba wao as long as wanakula wanashiba, wanavaa, wanatibiwa vizuri na wanakwenda shule hakuna haja ya kukushauri kitu... afu pima baada ya miaka uone kama kutakuwa na maendeleo katika mji wako.
Udikteta kwenye ngazi ya familia lazima uwepo baba lazima awe dikteta.
 
Sehemu kubwa ya Africa imetawaliwa bila demokrasia kuwa muda mrefu lakini Africa ndio bara maskini zaidi duniani.
Kisha mwambie mleta mada kilichotokea wakati wa jiwe na alete mfano ya Japan au India
 
Kwa kuwa uumunimi wa udikteta, ni sawa.
Chama cha democrasia na maendeleo, Mpaka sasahivi awana hata ofisi ya maana,kwa zaidi ya miaka 25, pamoja na kuwa na rudhuku na michango ya wanachama wao,kisa eti democrasia huku viongozi wakijinemesha,kweli Africa kutegemea democrasia Mambo hayawezi kusonga, Africa inaitajika viongozi kama akina Gadafi na Magufuri
 
Mtazamo wa mtumishi wa kijani
 
Demokrasia inafanya kazi ikiwa taasisi zote zitakuwa transparency........uwazi wa kinachopatikana, uwazi wa kinachotumika, mgawanyo sahihi wa resources (keki ya taifa),kushirikisha wananchi katika desisheni mekingi ktk mambo yanayoathiri maisha yao............maendeleo yatakuja automatic tu
 
Mtazamo wa mtumishi wa kijani
Lakini ndio ukweli, democrasia ni njia ya mzungu kumpumbaza mwafrika, Wazungu walikubali democrasia baada ya kupiga atu kubwa ya maendeleo, Sisi huku africa mataifa bado machanga ndio yanaanza kutimiza miaka 60,alafu eti tufuate democrasia, maendeleo tutakuwa tunayaona kwenye tv,narudia africa tunaitaji viongozi kama Magufuri na Gadafi wazelendo wenye kuipenda africa,sio kiongozi anachaguliwa tu akili zake zote zinawaza Ulaya
 
Back
Top Bottom