Elections 2010 Hakuna Uhaba wa Mawakala CHADEMA-UBUNGO

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
Wana JF,
Baada ya kupata taarifa juu ya suala husika Timu ya Uratibu imepitia vituo vyote na kuhakikisha tunakuwa na MAWAKALA WAAMINIFU. Napenda kuwajulisha na kuwaondoa hofu kuwa mpaka saa 5 asbh tulikuwa tumekamilisha uhakiki wa uwepo wa makala ktk vituo vyote vya Jimbo letu. Hbr njema ni kwamba tumeweza kuweka mawakala ktk vituo vyote na ktk baadhi ya vituo tumeweza kuweka mawakala WAAMINIFU zaidi ya wawili. Ni kweli mawakala wetu walichelewa kufika vituoni lkn wote walikuwa na sbb ya msingi. Nayo ni kwamba hawakutaka tupoteze KURA ZAO kama 2005. Ninapoandika tuko njiani kuwapelekea Lunch. Nichukue nafasi hii kuwashukuru wote mliojitokeza na mnaojiandaa kwenda kutimiza haki yenu ya msingi. Kuna jambo moja limenistua sana, KWELI LEO VIJANA LEO WANATOA HUKUMU! Wamejitokeza kwa wingi, kama hawa wa Ubungo; wengi wamesafiri toka mbali pasipo kujali umbali wala muda. Na utaratibu ni mzuri kiasi kwamba dk 35 zinakutosha kufika na kukamilisha zoezi.
 
Asante kuna watu humu walianza kueneza habari za uongo kuhusu mawakala wa chadema eti hawaonekani shame on them tumewashtukia.
 
Sidhani kama ilikuwa kwa nia mbaya, wote lengo nadhani ni kuhakikisha hapaharibiki jambo!! tusiwalaumu!!
 
Wana JF,
Baada ya kupata taarifa juu ya suala husika Timu ya Uratibu imepitia vituo vyote na kuhakikisha tunakuwa na MAWAKALA WAAMINIFU. Napenda kuwajulisha na kuwaondoa hofu kuwa mpaka saa 5 asbh tulikuwa tumekamilisha uhakiki wa uwepo wa makala ktk vituo vyote vya Jimbo letu. Hbr njema ni kwamba tumeweza kuweka mawakala ktk vituo vyote na ktk baadhi ya vituo tumeweza kuweka mawakala WAAMINIFU zaidi ya wawili. Ni kweli mawakala wetu walichelewa kufika vituoni lkn wote walikuwa na sbb ya msingi. Nayo ni kwamba hawakutaka tupoteze KURA ZAO kama 2005. Ninapoandika tuko njiani kuwapelekea Lunch. Nichukue nafasi hii kuwashukuru wote mliojitokeza na mnaojiandaa kwenda kutimiza haki yenu ya msingi. Kuna jambo moja limenistua sana, KWELI LEO VIJANA LEO WANATOA HUKUMU! Wamejitokeza kwa wingi, kama hawa wa Ubungo; wengi wamesafiri toka mbali pasipo kujali umbali wala muda. Na utaratibu ni mzuri kiasi kwamba dk 35 zinakutosha kufika na kukamilisha zoezi.

Omutwale

Na mie nilihisi ni mawakala kutotaka kupoteza haki yao. Hata hivyo nadhani wali take precausion kuwa wakati hawajafika hapakuwa na RISIK kubwa. Tusaidie kujua kama nchi nzima hali ni kama ya huko Dar? Naongelea mawakala.
 
Asante kuna watu humu walianza kueneza habari za uongo kuhusu mawakala wa chadema eti hawaonekani shame on them tumewashtukia.

Sio wazushi mkuu, hali iliyokuwapo ndio hiyo, sema labda wewe ulichelewa kupiga kura. Mbona jamaa amekiri hapa lakini wewe unakomaa kwamba ni uzushi?

...Ni kweli mawakala wetu walichelewa kufika vituoni lkn wote walikuwa na sbb ya msingi. ....
 
Omutwale
hebu wasiliana na wenzio wa majimbo mengine maana kuna mdau kalalamikia kata ya kivukoni pale IFM ni vizuri wahusika huko wakatupa taarifa pia KILA LA HERI
 
Hii kwa kweli inatia moyo maana tulishaanza kuwa na wasi wasi. Mafisadi hatuwataki kabisa mwaka huu.
 
daaah, afadhali maana nimepiga kura pale WEO Ubungo NHC kulikuwa na mawakala 2 tuu nahisi cuf na ccm maana hawakuwa na ushirikiano, walikuwa na majonzi na kama wamechanganyikiwa hivi
 
Wana JF,
Baada ya kupata taarifa juu ya suala husika Timu ya Uratibu imepitia vituo vyote na kuhakikisha tunakuwa na MAWAKALA WAAMINIFU. Napenda kuwajulisha na kuwaondoa hofu kuwa mpaka saa 5 asbh tulikuwa tumekamilisha uhakiki wa uwepo wa makala ktk vituo vyote vya Jimbo letu. Hbr njema ni kwamba tumeweza kuweka mawakala ktk vituo vyote na ktk baadhi ya vituo tumeweza kuweka mawakala WAAMINIFU zaidi ya wawili. Ni kweli mawakala wetu walichelewa kufika vituoni lkn wote walikuwa na sbb ya msingi. Nayo ni kwamba hawakutaka tupoteze KURA ZAO kama 2005. Ninapoandika tuko njiani kuwapelekea Lunch. Nichukue nafasi hii kuwashukuru wote mliojitokeza na mnaojiandaa kwenda kutimiza haki yenu ya msingi. Kuna jambo moja limenistua sana, KWELI LEO VIJANA LEO WANATOA HUKUMU! Wamejitokeza kwa wingi, kama hawa wa Ubungo; wengi wamesafiri toka mbali pasipo kujali umbali wala muda. Na utaratibu ni mzuri kiasi kwamba dk 35 zinakutosha kufika na kukamilisha zoezi.

Ahsante sana kwa kutuhabarisha na kututoa wasiwasi kuhusu kukosekana kwa mawakala wa chadema au kuwepo ambao walionekana uaminifu wao ni mdogo.
 
Omutwale
hebu wasiliana na wenzio wa majimbo mengine maana kuna mdau kalalamikia kata ya kivukoni pale IFM ni vizuri wahusika huko wakatupa taarifa pia KILA LA HERI

Upo umuhimu wa kuweka thread yenye contacts za coordinators wa CHADEMA ili iwe rahisi kuwajulisha pale inapohitajika kufanya hivyo.
Hiyo thread isiwekwe chochote isipokuwa namba hizo za simu, mie naona hili ni jambo la muhimu.
 
Back
Top Bottom