Hakuna ugonjwa usio na tiba, hata magonjwa sugu yana dawa zake.

Mwanapropaganda

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,235
2,501
Makampuni ya watu yanayotengeneza madawa na vifaa vya matibabu hayawezi kufungwa kwa sababu yako kwa sababu ni biashara pia. Makampuni hayo hayo ndiyo yanayofadhiri tafiti mbalimbali za magonjwa ili waweze kuuza dawa na vifaa, daktari hawezi kukwambia ukweli ambao hata yeye mwenyewe haujui.

Dawa na baadhi ya vifaa vinatengenezwa ili kukufanya wewe uendelee kuwa teja wa dawa na hivyo kuendelea kununua dawa na vifaa.
 
Yataje hayo magonjwa halafu uambiwe dawa yake.
Mkuu mi nahangaika na spinal cord injury. Unaposema kila ugonjwa unatibika wakati mi case yangu madaktar hwasemi kinachofany siponi mpk Leo nimeparalyze. Sielew kbs ebu niambie solution ya hyo kitu
 
Mkuu mi nahangaika na spinal cord injury. Unaposema kila ugonjwa unatibika wakati mi case yangu madaktar hwasemi kinachofany siponi mpk Leo nimeparalyze. Sielew kbs ebu niambie solution ya hyo kitu
Dawa hiyo hapo.
 
Attachments

  • Yoga and Rehabilitation After a Spinal Cord Injury.mp4
    13.3 MB
Kati ya magonjwa ambayo ukienda hospitali ukaambiwa kuwa hakuna dawa ya kukutibu ni pamoja na kugonga au kuumiza facial nerva
 
Back
Top Bottom