Hakuna ufalme unaoweza kujifitini

Hapa hujajibu swali mzee,ndio maana swali langu lina baki pale pale,na hapa nakuuliza tena "Ni yapi hayo ambayo uislamu ume copy kutoka katika ukristo ?"

Nasubiri jibu la swali hili na hayo mengine niliyo uuliza katika maoni uliyo ni quote hapo juu.
Torati ya Musa
 
Unajua maana ya kunakili au kwa sababu mmeona yamefanana ndiyo mnasema tumenakili. Kwanza unaweza kunithibitishia ya kuwa kipindi cha Mtume wetu Biblia ilikuwepo ?

Pili, mtume wetu alikuwa hajui kusoma na kuandika, alicopy vipi ? Tueleze kinagaubaga hili lilikuwaje na liliwezekana vipi ?

Tatu, jifunze kuandika jina la mama yake Issa.
Madhara ya kukimbia shule na kwenda madrasa ndo haya!! Watu wanakuwa wapumbavu na wajinga sana katika kujitambua!. Ukristo umekuwepo kabla ya uislam, yaan ilipita zaidi ya miaka 500 ya ukristo ndo uislam ukaanzishwa na Mtume Mo. Ndo maana leo hii mwaka 2021 ni mwaka wa kikristo, lakini kwa uislam nadhan miaka yenu iko nyuma inaweza kuwa huu ni mwaka wa 1440s. Sasa kwa akili ya kawaida isiyo na matope unaposema Ukristo ulikuwepo basi na Biblia ilkuwepo labda useme kuna vitu ambavyo kwa sasa vimepunguzwa kwenye biblia ya leo hii.
 
Hapa ndipo tutakapo ona kati yangu mimi wa Madrasa na wewe ulie soma shule, nani ana akili.

Sasa wewe ambae umeenda shule (iliyokufanya uwe mjinga zaidi), swali langu la msingi ni kuwa thibitisheni ya kuwa kipindi cha mtume Biblia ilikuwepo sasa kwa uzwa uzwa waki unaleta habari za Ukristo. Ukristo ambao Yesu mwenyewe hakuuacha.

Sasa kama Ukristo ulikuwepi kwanini mnashindwa kuweka ushahidi ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume.
 
Najua ya kuwa hujui na hujui kama hujui.

Nina wake.
Elewa swali kijana au una stress? na Thibisha kwa picha km kweli una mke! nimeuliza mke siyo wake! Unaona? ukipata division yai ohho! Mwalm kanionea! unajibu usichoulizwa!!

Sasa eti Wake? so sad umeelewa swali kweli? ok! ulioa kwa mafungu sawa! hkn fungu la ndoa ya wake TZ! unaoa mmoja tu Duniani kote, hayo makundi mengine yanaofuata ni umeongeza ni vinaniii.. tu! ndo sheria ..

Najua kuwa ......Safi sana! naona umejaa! mwanafunzi daima! anataka, anaiga vilevile, anatamani vilevile, anakariri tena biLa kujijua awe km Tata nyarusarenyamtombabhuya!
kijana niko vizuri njoouchote hekima hapa bure! na hii nayo andika!!
 
Madhara ya kukimbia shule na kwenda madrasa ndo haya!! Watu wanakuwa wapumbavu na wajinga sana katika kujitambua!. Ukristo umekuwepo kabla ya uislam, yaan ilipita zaidi ya miaka 500 ya ukristo ndo uislam ukaanzishwa na Mtume Mo. Ndo maana leo hii mwaka 2021 ni mwaka wa kikristo, lakini kwa uislam nadhan miaka yenu iko nyuma inaweza kuwa huu ni mwaka wa 1440s. Sasa kwa akili ya kawaida isiyo na matope unaposema Ukristo ulikuwepo basi na Biblia ilkuwepo labda useme kuna vitu ambavyo kwa sasa vimepunguzwa kwenye biblia ya leo hii.
Hapa ndipo tutakapo ona kati yangu mimi wa Madrasa na wewe ulie soma shule, nani ana akili.

Sasa wewe ambae umeenda shule (iliyokufanya uwe mjinga zaidi), swali langu la msingi ni kuwa thibitisheni ya kuwa kipindi cha mtume Biblia ilikuwepo sasa kwa uzwa uzwa waki unaleta habari za Ukristo. Ukristo ambao Yesu mwenyewe hakuuacha.

Sasa kama Ukristo ulikuwepi kwanini mnashindwa kuweka ushahidi ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume.
 
Title yangu inaeleweka vyema. Kwamba ufalme ukiwa sehemu hauwezi kukubali kutumia ili ujifitini kupata mshindani.

Sasa kwenye vitabu vitakatifu kuna sehemu kumeandikwa mungu wa dunia hii. Alafu humo humo humo kumeandikwa kwamba Mungu ni mmoja, muumba mbingu na dunia.

Ilikuwaje akakubali kuachia sehemu yake na kumuachia mungu mwingine ambaye anaandikwa kwa herufi ndogo (Shetani)

Ikikuwaje akamruhusu huyo mungu wa dunia hii awatese waja wake wakati imeandikwa kwamba Mungu hawezi kumjaribu mtu?

Ilikuwaje akakubali mwanae wa pekee apate mateso ya kiukweli pale msalabani?

Je! maandiko hayo tuendelee kuyaamini wakati kuna tetesi wale walioyatafsiri tayari wameanza kuonesha kuwa yana mapungufu?

Nionavyo mimi ni kwamba tulilishwa matango pori. Mungu yupo ila sio huyo anayehubiriwa!

Mchango wako unahitajika sana!
Mungu unayesema yupo ni yupi na unajuaje kwamba yupo?

Mungu ni nini? Unaweza kum define na kuthibitisha yupo?
 
Elewa swali kijana au una stress? na Thibisha kwa picha km kweli una mke! nimeuliza mke siyo wake! Unaona? ukipata division yai ohho! Mwalm kanionea! unajibu usichoulizwa!!
Nimejibu nilichoulizwa ns kutoa ziada, na kuonyesha ya kuwa muulizaji ni mchachefu wa maarifa. Vipi ningejibu nina mke mmoja hali ya kuwa nina wake zaidi ya mmoja ? Maana yake swali stahiki ni je umeoa ?
Najua kuwa ......Safi sana! naona umejaa! mwanafunzi daima! anataka, anaiga vilevile, anatamani vilevile, anakariri tena biLa kujijua awe km Tata nyarusarenyamtombabhuya!
kijana niko vizuri njoouchote hekima hapa bure! na hii nayo andika!
Sababu huna majibu ya swali langu, tuendelee kwa mtindo huu.
 
Nimejibu nilichoulizwa ns kutoa ziada, na kuonyesha ya kuwa muulizaji ni mchachefu wa maarifa. Vipi ningejibu nina mke mmoja hali ya kuwa nina wake zaidi ya mmoja ? Maana yake swali stahiki ni je umeoa ?

Sababu huna majibu ya swali langu, tuendelee kwa mtindo huu.
Vurugu za Maono! na Bado zipo!!! swali haliulizwi hivo! rudi muulize Maalim swali laulizwaje?
 
Hapa ndipo tutakapo ona kati yangu mimi wa Madrasa na wewe ulie soma shule, nani ana akili.

Sasa wewe ambae umeenda shule (iliyokufanya uwe mjinga zaidi), swali langu la msingi ni kuwa thibitisheni ya kuwa kipindi cha mtume Biblia ilikuwepo sasa kwa uzwa uzwa waki unaleta habari za Ukristo. Ukristo ambao Yesu mwenyewe hakuuacha.

Sasa kama Ukristo ulikuwepi kwanini mnashindwa kuweka ushahidi ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume.
Nawew hebu thibitisha kuwa biblia haikuwepo!!! Mbona unajitoa akili kwa kitu ambacho hata mtume wenu alikijua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maliza kwanza nilicho kuomba ukiwekee ithibati kisha zamu yangu itakuja, aidha ukiri ya kuwa wewe ni muongo na mzushi tena mpotoshaji.

Naona unajiongezea mzigo usio uweza, mtume alijuwa wapi kama kuna Biblia ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom