Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,357
Apple bado yupo kwenye category yake peke yake.Kweli wengine wanachukia Apple products kisa wameskia watu wanaiponda tuwe objective katika ku reason. kiukweli Apple enzi za steve jobs walikuwa ahead of time na ndio kitu kinachohitajika kwenye Technology Microsoft alivyoleta window alikuwa mbele ya mda wake, Elon Musk na Tesla zake Kawa mbele ya mda he’s dominating the Market... zaman iPhone used to be that..Leading innovation na uniqueness. Siku hizi Not so much
Ukiacha android hakuna os nyingine zaidi ya ios.
Sasa mnataka wote waende kutumia android? Kuna watu wanapendelea ios na ecosystem yake.