Hakuna Timu ya kuifunga Simba SC, Kituo kinachofuata ni Iringa, Kila timu ishinde mechi zake!

Nina maana yangu hadi nikaandika hivyo. As Vita itakapokuja kwa mechi ya marudiano lazima mtafungwa tu. Wale hawaogopi joto kama waarabu. Baada ya hapo mtapoteana hivyo mechi zitazobakia za Tpl mtakua mnagawa tu pointi na mwisho wa siku, timu ya wananchi itarudisha kombe lake Jangwani.

Nani kakuambia mwarabu anaogopa joto??
Mtatafuta kisingizio kwa kila timu tunachokutana naye lazima mnyanyue mikono juu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamwita Koko wakati juzi tu amekufanya Kitendo pale kwa Mchina? :D:D
Huo ndio Ukoko wenyewe na ndio maana hata kagoli kenyewe alipata jua la kuzama. Wenye mipira yao mpaka dkk 45 za kwanza akikukosa basi ana KHAMSA. 😜

Siku hizi tunakuita kwa MKAPA.
 
Kwahivyo wewe haumo katika wale wenye mpira wao, basi kwa kuwa hujiwezi sisi tutapambana nao..Asante kwa kuchagua mahala unapojiweza.

Nasalimia tu
Huo ndio Ukoko wenyewe na ndio maana hata kagoli kenyewe alipata jua la kuzama. Wenye mipira yao mpaka dkk 45 za kwanza akikukosa basi ana KHAMSA.

Siku hizi tunakuita kwa MKAPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa duru ya kwanza ilikua inacheza timu gani kiasi mpaka ubague.? Mbona sisi wenyewe suru ya kwanza hatukupoteza lakini hatujawahi kuwa na mjigambo ya namna hii.

masikini akipata MATTER CORE HULIA MBWATTER
Lugha ngumu kueleweka..Hivi wakongo na waarabu wanacheza Tanzania Premier League? Na Mbao imecheza lini duru la pili na Simba..!

Nyie watu hatuna dawa ya kuwatibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sibagui, nadhani hukusoma vizuri hii thread mkuu..Nimesema kuanzia sasa, yaani hapo toa Mbao FC na timu yoyote ambayo imepata sare kwa duru la kwanza.

Kwasasa TPL duru la mwisho hakuna klabu ya kuifunga Simba nikatoa sababu hapo

Halafu unataka tusiseme ambalo tunaliamini Simba SC eti kwasababu nyie duru la kwanza hamkupoteza lakini hamkuwa na majigambo, sasa hiyo si uamuzi wenu..!

Hatufanani mkuu...SimbaNguvuMoja



Kwa duru ya kwanza ilikua inacheza timu gani kiasi mpaka ubague.? Mbona sisi wenyewe suru ya kwanza hatukupoteza lakini hatujawahi kuwa na mjigambo ya namna hii.

masikini akipata MATTER CORE HULIA MBWATTER

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehee.. Sawa timu tajiri.
Sibagui, nadhani hukusoma vizuri hii thread mkuu..Nimesema kuanzia sasa, yaani hapo toa Mbao FC na timu yoyote ambayo imepata sare kwamba duru la kwanza.

Kwasasa TPL duru la mwisho hakuna klabu ya kuifunga Simba nikatoa sababu hapo

Halafu unataka tusiseme ambalo tunaliamini Simba SC eti kwasababu nyie duru la kwanza hamkupoteza lakini hamkuwa na majigambo, sasa hiyo si uamuzi wenu..!

Hatufanani mkuu...SimbaNguvuMoja





Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20190222-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ogopa sana ushamba..Hizo track simba huzivaa wakati wa baridi tena nchi kama arabuni..Lakini nyie joto la Bongo hili jamani inakuwaje?

Halafu kuhusu Jezi, kaa kimya kabisa, Simba ndo klabu ya kwanza Tanzania kuvaa Jezi na Viatu wakati huo nyie mlikuwa mkicheza na Ndala na Mgongo Wazi..Chukua hiyo Flashback kabla sijakupa kombora la pili..SimbaNguvuMoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom