Hakuna Timu ya kuifunga Simba SC, Kituo kinachofuata ni Iringa, Kila timu ishinde mechi zake!

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
20,912
2,000
Ligi Kuu ya Tanzania kwa mzunguko huu wa lala salama, hakuna Klabu ya mpira yenye uwezo wa kuifunga Simba SC kutokana ubora wa kikosi.

••Watafanya Nini Sasa Uwezo Hamna

Simba SC imekuwa ikitandaza gozi la ng'ombe vema kabisa kwa viwango vya juu, huku wakipiga pasi za maana zilizothibitishwa na Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kusababisha Simba SC kupata matokeo chanya.

Klabu hiyo ya Wekundu wa Msimbazi wao wanachokifanya ni kutiririka tu kwenye mtelemko wa kuzoa pointi tatu kila mchezo, Yanga kachukua kidude 1-0 Uwanja wa Taifa, African Lyon kagaragazwa 3-0 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Azam FC kachapwa 3-1 Uwanja wa Taifa, klabu ambazo kidogo zilikuwa zikitegemewa kuleta upinzani wa kupata walau sare, kwa mukhadha huo hakuna kwa sasa timu ambayo itaifunga Simba SC kwenye TPL.

••Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa

Katika mwendelezo wa kukusanya pointi tatu tatu kila sehemu, kwa sasa kituo kinachofuta ni Ipogolo mkoani Iringa ambapo Lipuli watalazimika kushuka katika eneo lao nakuacha pointi tatu huku safari ya Watakatifu Simba ikiendelea.

Klabu ya Simba imeondoka leo kuelekea mkoani Morogoro ambapo leo jioni watafanya mazoezi kisha kesho asubuhi wataanza safari kuelekea mkoani Iringa ambako Jumanne itakipiga na Wanapaluhengo Lipuli FC.

Niiii Ghazwat kwa niaba ya sembo OKW BOBAN SUNZU Shunie King Ngwaba Sapta Sapta Tui tunawaambia watani zetu Sibonike Mwana Mtoka Pabaya Shadeeya Prince Kunta Kila timu ishinde mechi zake..!
IMG_20190223_164111_966.jpeg
IMG_20190223_164207_846.jpeg
IMG_20190223_164040_099.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
5,327
2,000
Nina maana yangu hadi nikaandika hivyo. As Vita itakapokuja kwa mechi ya marudiano lazima mtafungwa tu. Wale hawaogopi joto kama waarabu. Baada ya hapo mtapoteana hivyo mechi zitazobakia za Tpl mtakua mnagawa tu pointi na mwisho wa siku, timu ya wananchi itarudisha kombe lake Jangwani.
 
magagafu

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,150
2,000
Ngoja waje wababe wenu As Vita Club wawachome sindano nyingine tano. Baada ya hapo najua mtarudi mlikotoka.
Mentality ya Simba kwa mashabiki Hadi wachezaji kuwa hatufungwi tukiwa kwa Mkapa na wageni wanajua wakija machinjioni pale hawatoki nakukumbusha tuu Mwaka 2003 wakati Simba tupo makundi ya klabu bingwa kipindi kile makundi ilikua ngazi ya nane Bora Simba alishinda mechi 2 za nyumbani na Moja tulitoa sare na Ismailia refa alikataa goli la wazi la Emmanuel Gabriel Batistuta,tukamaliza na points 7 Enyimba alienda kuwa bingwa lakini aliacha points 3 hapa uwanja wa Uhuru almaarufu "shamba la Bibi" mwaka huu makosa hayajirudii kwa Mkapa hatoki mtu
IMG-20190216-WA0052.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
2,744
2,000
Mentality ya Simba kwa mashabiki Hadi wachezaji kuwa hatufungwi tukiwa kwa Mkapa na wageni wanajua wakija machinjioni pale hawatoki nakukumbusha tuu Mwaka 2003 wakati Simba tupo makundi ya klabu bingwa kipindi kile makundi ilikua ngazi ya nane Bora Simba alishinda mechi 2 za nyumbani na Moja tulitoa sare na Ismailia refa alikataa goli la wazi la Emmanuel Gabriel Batistuta,tukamaliza na points 7 Enyimba alienda kuwa bingwa lakini aliacha points 3 hapa uwanja wa Uhuru almaarufu "shamba la Bibi" mwaka huu makosa hayajirudii kwa Mkapa hatoki mtu View attachment 1030349

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mkapa au kwa mchina ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
20,912
2,000
Epuka sana kitu kiitwacho USHAMBA.
Hayo majaketi si wanavaaga wakati wa Baridi hayo yaani na joto la Dar Es Salaam lote hili Yanga wamevaa majaketi utadhani wagonjwa.
ANYWAY
Mbute imekuwa timu ya kwanza kukwepa kupita kwenye tennul sababu ya ushirikina na bado wamesuuzwa
Ogopa sana ushamba, we Track za kuwavaa wakati wa baridi sasa inakuje hii Bongo na joto kama lote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,569
2,000
Mentality ya Simba kwa mashabiki Hadi wachezaji kuwa hatufungwi tukiwa kwa Mkapa na wageni wanajua wakija machinjioni pale hawatoki nakukumbusha tuu Mwaka 2003 wakati Simba tupo makundi ya klabu bingwa kipindi kile makundi ilikua ngazi ya nane Bora Simba alishinda mechi 2 za nyumbani na Moja tulitoa sare na Ismailia refa alikataa goli la wazi la Emmanuel Gabriel Batistuta,tukamaliza na points 7 Enyimba alienda kuwa bingwa lakini aliacha points 3 hapa uwanja wa Uhuru almaarufu "shamba la Bibi" mwaka huu makosa hayajirudii kwa Mkapa hatoki mtu View attachment 1030349

Sent using Jamii Forums mobile app

enyimba alikuja taifa kipindi kile hata hajulikani.. na simba ilikuwa brand kitambo..

enyimba akatwaa ubingwa... akawa brand.. amejenga jina na kuwa club kubwa africa.. huku simba iko pale pale....

uwanja wa enyimba ni uwanja wa kisasa nyasi zake kama za anfield na ni moja ya pitch bora africa.. lakini simba na yanga mpaka leo tunategemea taifa...

enyimba ni timu ndogo sana kwa level ya simba mwaka 2003.... ila ameendelwa fasta fasta

enyimba ni timu ndogo sana kwa level ya simba au yanga... ni kama kagera sugar ya nigeria.. ni timu ya kijijini aba kwa igbo.. ila sababu wana akili walipopata nafasi tu wameitumia vizuri na kuwa brand ya ukweli... mashabiki wao ni elfu 20 tu ila wamewazidi maendeleo timu zenye mashabiki mamilioni kama simba na yanga

Kumbuka Simba Mwaka 2003 walikua na mdhamini huyu huyu Mohamed Dewji ila kipindi kile alikua Ana mkataba na Simba wakawaida tu Kama huu wa Sportpesa na Simba ndomana tulifika mbali, ila kwa Sasa pia kumbuka Simba imekua kampuni na MO ni mwekezaji ndomana unaona Simba mpya inakuja ata maono ya klabu yamebadilika tunajenga uwanja wetu wamazoezi Bunju,tunataka tushindane kikweli kweli...Simba kwa Sasa inabidi uipe mda tuu level zake zitakua kubwa Kama zakina TP mazembe kwani mipango ishawekwa na kumbuka Simba ni watu wa mpira na tukiamua letu huwa hatushindwi.....Hawa Enyimba wamekuja na wamesahaurika ila nasisi ndio tunakuja tupe miaka mitano na tuendelee kuwakilisha nchi klabu bingwa

enyimba amesahulika.. weka performance ya enyimba last 10 yrs kwenye michuano ya caf.. anatolewaga stage gani... tukiondoa ile miaka ya 2003 na 2004 aliyotwaa ubingwa....

dewji, manji ndio waharibifu wa mpira wetu.. wanatumia pesa zao kuharibu mpira badala ya kuujenga mpira.. dewji alikwa african lyon alikuwa singida united, amekuwa simba miaka kibao..

hili timu zetu zikuwe kama enyimba lazima kuwe na transparent ya mapato na matumizi.. na kuwe na decision makers ambao ni wanachama..

mzee akili mali wa yanga au bibi hindu ni ana mapenzi na simba .. kuliko hao kina dewji na manji wanaolipa watanzania laki moja kwa mwezi kwenye makampuni yao.. wanaibia serikali via kodi kisa wanatumia hizi timu kupata huruma ya wananchi.. kisa ni mashabiki tuone dewji na manji ni wanaonewa na ni wenzetu.. hawa wahindi ni wezi ndio wanaua mpira..

nitakuja kukumbusha siku.. save hii comment kwenye email.. next 5 yrs uone kama simba kutakuwa na mabadiliko yeyote...

walioijenga enyimba ni wa igbo wenyewe wanachama sio wahindi wenye makampuni ya kinyonyaji nigeria
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom