Hakuna tiba nyingine ya kutibu macho mpaka miwani?

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Mimi ni kijana mdogo, nina tatizo la macho, nashindwa kuona mbali hivyo ikabidi nitumie miwani.

Sasa kwa sasa nina miaka miwili tangu nitumie macho yangu yameanza kuingia ndani hadi nayaonea huruma. Hivi hamna dawa nyingine zaidi ya miwani?

Msaada jamani wakuu.
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo ww mm ni mtaalam wa macho toka kcmc ...macho hayawez ingia ndan kwkutumia miwan ni iman yako tuu ...pia njia zingine huwez gharamia kama refractive surgery...au kuvaa contact lenss...ndo mana best option ni miwan......ingekua inapelekea kuzamisha watu macho ....wale wanaovaaa tangu watoto c wangekua vipofu
 
Habari kaka,

Mimi Nina jua Tiba mbadala ya miwani,na watu Wengi wameshatumia na kufanikiwa. Tuwasiliane kujua zaidi.
0715481628
 
Hiyo miwani inayofanya macho yaingie ndani inatumia Lenzi M'binuko au Lenzi M'bonyeo?
 
Hahaha macho yameingia ndani.

Me na wewe hatuchekani lakini, mwenyewe Nina miwani
 
Acha uongo ww mm ni mtaalam wa macho toka kcmc ...macho hayawez ingia ndan kwkutumia miwan ni iman yako tuu ...pia njia zingine huwez gharamia kama refractive surgery...au kuvaa contact lenss...ndo mana best option ni miwan......ingekua inapelekea kuzamisha watu macho ....wale wanaovaaa tangu watoto c wangekua vipofu
Kiongozi hizi huduma za Surgery na Lens approximately zina cost around ngapi?
 
pengine hakumaanisha kwamba miwani ndo sababu ya macho kurudi ndani.

yeye kasema ametumia miwani for 2 yrs tatizo linazidi na macho yanmeanza kuingia ndani. Je hakuna tiba nyingine zaidi ya miwani?

au mm ndo sikumwelewa vzuri.
 
Hivyo ndo alivyomaanisha mkuu..Hata me nimeelewa hivyo..
 
[QUOTE="man99, post: 15093219, member: inahusha uongo ww mm ni mtaalam wa macho toka kcmc ...macho hayawez ingia ndan kwkutumia miwan ni iman yako tuu ...pia njia zingine huwez gharamia kama refractive surgery...au kuvaa contact lenss...ndo mana best option ni miwan......ingekua inapelekea kuzamisha watu macho ....wale wanaovaaa tangu watoto c wangekua vipofu[/QUOTE]
Ndugu maumivu ya kichwa mbele ya macho nn tiba yake maana kichwa kinauma hadi misuli ya shingo inaniuma kwa kweli ,nimekunywa pain killer wapi malaria hakuna wala typhoid hakuna .
 
Back
Top Bottom