Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

Mkuu ili kufungua hospital kwabwa namna hiyo somewhere kuna factor nyingi unaconsider and one of them inaweza kuwa accessibility etc.Chato inaweza isiwe na sifa hata moja kati ya hizo
Unapafahamu au ulishafika Chato?
 
..Wanapinga UPENDELEO.

..Magufuli alikuwa mbunge kwa miaka 20 kwanini hakupeleka miradi yote hiyo wakati akiwa mbunge na waziri?

..Kwanini miradi mingi hivyo inaibuka Chato tu na haiibuki maeneo mengine ya Tanzania?
Kwani anayepeleka miradi ni Magufuli au serikali?
Unakosea kusema sehemu nyingine hakuna miradi. Mradi wa maji Shinyanga to Tabora? Mradi wa meli ziwa Nyassa?

Flyover ya Ubungo ni sawa na bil 9 zinazojenga Hosp Chato?
 
..nadhani ni Magufuli ndiye anayelundika kila mradi Chato.

..hebu tueleze ni jimbo gani lingine lililoko mikoani hapa limejengewa Veta, Uwanja wa ndege, Msd, Tra, Uwanja wa mpira, mahakama, mbuga ya wanyama, na hospitali ya rufaa, ndani ya miaka mitatu.
 
Acha kukariri, maana kila awamu na mikakati yake. Je ni awamu gani amabayo imepambana na ufisadi zaidi ondoa awamu ya kwanza?
 
Acha kukariri, maana kila awamu na mikakati yake. Je ni awamu gani amabayo imepambana na ufisadi zaidi ondoa awamu ya kwanza?

..kwa hiyo mkakati wa awamu ya Jpm ni kulundika miradi ya maendeleo Chato?

..Veta, Uwanja wa ndege, Msd, Tra, Crdb, uwanja wa mpira, mahakama, hospitali ya rufaa, mbuga ya wanyama, vyote hivyo vimejengwa Chato ndani ya miaka mitatu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom