Hakuna Taifa huru duniani linaloitwa Tanzania-bara.

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Kuweka kumbukumbu sahihi..

Hakuna nchi inaoitwa Tanzania iliyopata Uhuru tarehe 9/12/1961, na hakuna Taifa huru duniani linaloitwa Tanzania-bara.

Nchi iliyopata Uhuru tarehe 9/12/1961 ni Tanganyika na ikawa Jamuhuri, na mwaka 1964 iliungana na nchi huru ya Zanzibar na kuwa jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Nchi ya Zanzibar ilipata Uhuru wake kamili mwaka 1963/10/12.

Hivyo: tarehe 9/12/2016 tunakwenda kuadhimisha Uhuru wa nchi yetu Tanganyika, na sio Tanzania-bara kama inavyopotoshwa.
 
Ina make sense lkn uhuru uliopatikana tarehe 9/12 ilikuwa Tanganyika ......Tanzania ilizaliwa baada ya uhuru .
 
Na sijui kwa nini jina la tanganyika linachukiwa mbona wenzetu wa zenji hujinasibu na u zanzibar wao jina lina nini jamani
 
Hayo yote yanawanyima usingizi? Hebu tatueni shida zenu acheni kufukua makaburi
 
Back
Top Bottom