Hakuna siku CCM Zanzibar ilipata tabu kama tarehe 25 - 28 Oktoba, 2015

Historia ya uchaguzi Zanzibar tangu enzi za wakoloni wazungu ni hiyo hiyo. Kuna wakati idadi ya majimbo kwa Unguja na kwa Pemba ilikuwa inalingana. Kwa sasa hali ikoje? Hiyo ndiyo mikakati ya kisiasa tangu zamani,
Nakumbuka kulikuwa na Jimbo la Malindi na Jimbo la Mji Mkongwe, saivi yameunganishwa na limekuwa jimbo moja. Mbunge anatoka mmoja badala ya wawili, hizi ni ngome za Cuf enzi izo. Sasa kama walikuwa wawili sasa yuko mmoja.
 
Back
Top Bottom