Hakuna sheria wala kanuni inayoelekeza ni kwa nani mbunge anawajibika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna sheria wala kanuni inayoelekeza ni kwa nani mbunge anawajibika

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by abduel paul, Aug 3, 2011.

 1. a

  abduel paul Senior Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni leo tu nimesikia wabunge wakihojiwa na kujibu kwa kukinzana kimtazamo ya kuwa ni wapi wanapaswa kuwajibika ikiwa wamefanya jambo linalokwenda ndivyo sivyo, ingawa kwa asilimia kubwa walio toa mitazamo yao wamesema wajibu wao upo kwenye vyama vilivyo wachagua kama chama, adhima na sera zake ni kuwahudumia wananchi basi wapo kwa ajili ya kutekeleza sera za vyama vyao, na vyama vyao ndivyo vyenye wajibu wa kuwawajibisha kulingana na sera na sio sheria, vivyo hivyo msajili wa vyama vya siasa pia amesema hakuna sheria inayoelekeza ni wapi mbunge anawajibika au kwa nani, swali langu...............!!!!!!!!!! ina maana sheria zetu zinatulazimisha kila mtanzania kuwa na chama ili kuchagua kiongozi? kwakua hakuna kiongozi atakaye toa mapendekezo yaliyo nje na sera ya chama chake, hivyo taswira au hualisia ni kwamba mbunge akisha pata ubunge mpiga kura atajijua na lwake, Mbunge atalazimika kutetea wananchi pale tu akiwa na mtazamo wa kuja kugombea tena, kama sivyo wananchi watajijua wenyewe, kwani chama kitamlinda hivyo kwa wakati huo yupo kwa ajili ya chama tu. ooooohhh!!!!!!! mtanzania nafasi yako ni kupiga kura tu, hapo ndipo sheria inakuangalia. kumbe mwenye nia ya kugombea tena ndo ana mtazamo wa kututetea????? mghhhh!!!!!

  hii kali............!!!!!!! kweli sheria imetutenga...!!! na ndomana wamekataa mgombea binafsi??????? hapa mwananchi angekuwa na nguvu....

  Embu wana JF, mnalipi la kusema...............?????????????
   
Loading...