Hakuna Serikali ya bure Duniani,tusitengeneze hoja za kisiasa kupitia vitambulisho Serikali leta sheria kila mtu atambuliwe tulipe kodi

Vision 2030

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
407
250
"Suala la vitambulisho vya mjasiliamali limeanza kufanyiwa siasa,yaani limeanza kuwa sehemu ya propaganda za kisiasa na tusipoangalia litatuchukualia muda mwingi,kinachotakiwa hapa kila mtanzania alipe kodi/mchango kwa ajili ya nchi yake.

Kuna tatizo gani kulipa 20,000 ambayo ni sawa na shilingi 1666 kwa mwezi wakati watumishi na wafanyabiashara wengine wanalipa tena zaidi.Tatizo la nchi yetu tunapenda kuishi kwa hisani,mbona fungu la kumi linatolewa huko makanisani.

Yaani huyu mwananchi anataka afanyiwe yafuatayo bila kulipa kodi ya mapato:-

1.Akilala na mke/mume wake kwa amani kwa kuwa serikali inamlinda bila kulipa direct tax
2.Mipaka ya nchi yake inalindwa asilipe yupo salama kiasi cha kuuza hiyo biashara yake ndogo asilipe 1666 kwa mwezi!
3.Kondomu zimepungua aagiziwe bure ,yaani Ukimwi ni bora kuliko kulipa 1666 kwa mwezi!
4.Madawa yaje Bure toka nchi mbalimbali maana hatuna viwanda vya kutosha kwa sababu ya 1666 kwa mwezi
5.Barabara ziendelee kuwa mbovu,kwa sababu ya 1666 kwa mwezi!
6.Maji yasiwepo kwa sababu ya 1666 kwa mwezi
7.Miundombinu ya umeme isiwepo kwa sababu ya 1666!
8.Miundombinu ya yote mizuri isiwepo kwa sababu ya 1666 kwa mwezi!
9.Miundombinu ya reli Bure
10.Miundombinu ya ndege bure
11.Shule bure
12.Afya iwe Bure
13.....Haiwezekani.....Hoja yangu ni kwamba tupo tunaolipa BOTH direct tax na Indirect tax na wengine waliowengi wanalipa indirect tax tu,hii ni double standard na wote vipato tunapata ndio mana tunasogeza siku!na wote ni watanzania.Kuna siku Serikali mtashitakiwa kwa kutoza kodi kwa ubaguzi kwa watanzania walewale,leteni sheria wote tulipe,Kodi haitolewi kwa kupenda hata muumini akiona sadaka zimezidi Kanisani haendi.
 
Correct!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Post ya ki utu uzima hii. Jiandae kushambuliwa na mashabiki wa amri 15 za EU.
 
Itapendeza sana, maana hapa ndipo Watanzania watajitambua na kuhoji matumizi ya kodi yao, Kitu ambacho hakiwezi kufanywa na CCM..
1.5 Trillion mpaka leo imeshindwa kutolewa maelezo..
"Tuanze na wajibu ili tuwe na haki ya kuhoji"
 
Back
Top Bottom