Hakuna Rais Bora kutoka katika Baraza la Mawaziri la Sasa....

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Mawaziri wengi walio katika Baraza la Mawaziri la sasa na baadhi ya wabunge wa CCM wametangaza nia, wengine wanatajwa....

Hao wote Hawana sifa ya kuwa Rais ajae

---- Katika Baraza la Mawaziri hili, Wameacha elimu imedorora....

--- Elimu ya Juu wamekosa mikopo

-- Ajira kwa Vijana imekufa.... Source of Panya road and the like

- Viwanda vimekufa.... Kashfa ya Sukari

Hata mchele wameagiza mwingi

Wameacha ufisadi umeshamiri na hawakemei

Naina Waziri wa Sheria na Katiba - Asha Rose Migiro ameacha katiba mbovu ipendekezwe

Asha Rose Migiro - Hataki tume huru ya uchaguzi,,,, bado hajaandaa muswada kama TCD Walivyokubaliana na Rais

-- Asha Rose Migiro nini msimamo wake kuhusu ESCROW... Nini msimamo wake kuhusu ufisadi?

- Magufuli nae hajawahi kukemea Rushwa, wakati wa ESCROW alikuwa Kimya

- Membe nae msimamo wake kuhusu Rushwa ni nini

Watoto wao wanasomesha nje

Wanatibiwa nje,,,, Huduma za afya zimedorora
 
Hoja zako nyepesi wala hazina mashiko kabisa unajifunza uongo ambao hata aibu huna.
 
wabongo wana macho na hawaoni! genge la magamba linaishi maisha ya kifahari huku wabongo wakila msoto, njaa kali , magonjwa na kukosa elimu na ajira na bado wajinga wanaona jamaa wanavyokula bata na wanalipigia kura hili genge! genge linaiba mabilioni ya kodi za walalahoi na kujadiliwa bungeni , wabongo wanaona kupitia tv za jirani ila bado wajinga wanapiga kura kuwapa kula! ukitaka kumtawala mtu mnyime elimu! kimsingi hakuna rais bora anaweza kutoka genge la wahujumu uchumi! siku tukiwapa wapinzani ofisi ndio mwanzo wa kuondokana na umaskini!
Hapo zaidi naona unaongozwa na chuki lakini hakuna udhati wowote kwenye hoja yako ccm kama chama wamejitahidi sana kwa kiasi chao mapungufu hayakosekani ila wamefanya vizuri sana.
 
kiboko ya mengi, wewe huoni aibu kuja hapa kupotosha watu... kwa makombo uliyopewa na mafisadi!!!!!! shame on you.

Watanzania wa leo si wale wa mwaka jana ama juzi..

Elimu imedorara sana

Huduma za afya zimedumaa

Kazi tu wanayojua wagombea wa Uraisi ni ufisadi wa ESCROW
 
Kweli kabisa, Raisi sio lazima atoke baraza la mawaziri

UKAWA ndo jibu 2015
 
Marais wazuri wako inje ya baraza la mawaziri ni kweli
Urais sasa hivi unapeperuka kama tiara,umeondoka mahali pake, u-rais unaeleaela tu hauna mwenyewe,kila mtu ndani ya chama tawala anaweza kusema yake, rais anasemewa yeye anaona sawa tu. Wafuatao wanaweza kuurudisha u-rais mahala pake ulipokuwa kabla ya rais aliyopo kupoteza mwelekeo wa u-rais, nao ni
1. Salum Ahmed Salum
2. Proffessor Ibrahim Lipumba
Wenye uwezo wambembeleze Salim Ahmed Salim abadili msimamo agombee, wenye busara kama akina Mzee Warioba watamfanyia kampeni na wanainchi wengi watawalewa

Lakini kati ya wote waiotangaza nia hamna rais.
 
Nyalandu anasema ataongea na Wakenya kuhusu magari ya Tanzania kunyimwa kuingia Kenyatta Airport?

Kwa nini Mwigulu na Saada Mkuya wasipunguze kodi ya mafuta ya ndege?

Kwa nini KIA wasipunguze landing fee
 
Back
Top Bottom