hakuna raha kama hizi duniani asikwambie mtu.

Mhhhhh!!!!!!!!! Kweli katiba mpya kuna mambo mengi sana tunatakiwa kuyaainisha. Ndomaana unajiita edward snowden. Eti nini?
 
Dah! Tushampoteza kijana shababi kwa David Cameron. Anawachukua watu wake tarrrrtiiibu!!
 
kujisaidia haja kubwa huku unavuta sigara au kusafishwa maskio na mtu mwingine kwa kutumia pamba za kusafishia maskio a.k.a [cotton buds]

Mwenzio Bradley Manning sasa hivi anaitwa Chelsea Elizabeth Manning....Sjui mkisha release hizo "Classified Documents" ndo mnaanza hizi habari unazoleta?
Wikileaks inawaharibu vijana
 
kujisaidia haja kubwa huku unavuta sigara au kusafishwa maskio na mtu mwingine kwa kutumia pamba za kusafishia maskio a.k.a [cotton buds]
Hapa utata, kuna raha gani kuwa chooni kwa ajili ya haja kubwa na mtu mwingine? Soni bana.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom