kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
heri umeonyesha nafasi yababa pia maana watu wataanza kuonyesha nafasi ya mama tu bila kujua yupo pia mzee aliyecheza kwa nafasi yake pia kumpa mamaa nguvu pia ya kufanya yote hayoAin't a man alive that could take my dad's place
Hakuna penzi real kama la baba aseee!
heri umeonyesha nafasi yababa pia maana watu wataanza kuonyesha nafasi ya mama tu bila kujua yupo pia mzee aliyecheza kwa nafasi yake pia kumpa mamaa nguvu pia ya kufanya yote hayo
Mkuu wadada wa jf tulikukosea Nini?Love your Mom Dude, hizi simblisi za JF wanna get you lost. Take ma word. If in doubt see me kwa inbox
"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"
Charlie Chaplin
👊👊👊👊Hilo liko wazi Mkuu, Hamna mwanamke mwingine Chini yajua atayeweza chukua nafasi ya Mama.
"What is yours will always be yours no matter what "
DilemaAin't a man alive that could take my dad's place
Hakuna penzi real kama la baba aseee!
Bibi!Ni nani kama Mama?
Joanah , Hereby am asking for an appointment, I want to be the man alive to take your dad's place... so kindly acceptAin't a man alive that could take my dad's place
Hakuna penzi real kama la baba aseee!
Joanah , Hereby am asking for an appointment, I want to be the man alive to take your dad's place... so kindly accept
Ain't a man alive that could take my dad's place
Nimeipenda avatar yako🥰🥰🥰🥰
Nimejikuta nagoogle wafipa ni watu wa wapi!
Kwa hiyo mi ni kunguni nayetokea Sumbawanga? NYEKUNDU YA BIBI
Kwangu mie baba is the best