Hakuna namna utaikimbia Hesabu

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,808
Kozi nyingi chuo kikuu zina hesabu siku hizi, so km ulijidanganya kwamba utakimbia hilo somo sahau, ni kozi chache sana tena zisizo na tija ndo hazina hesabu, zamani Hesabu ilikuwa km elective ila kadri siku zinavyoenda vyuo vingi limekuwa somo la lazima.

So kwa madogo mliopo huko chini jipangeni kabisa mtoke huko angalau mmeiva iva.
 
"tena zisizo na tija"
MD haina tija mkuu?

Anyway, nakubaliana na wewe hesabu ni muhimu. Lakini kuna kozi kibao chuo kikuu ambazo hazihitaji umaridadi wako katika hesabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom