Hakuna namna unaweza kufanya ili usigongewe mke

Ninae mdogo'angu aliowa nurse,nilimuonya akaniona mimi kupenda sijui au sijui ndiyo ili wasaidiane maisha!

Alikuja kumpiga tukio moja dogo kidogo apotee hadi leo yeye ndo amekuwa mshauri wa watu kuhusu kuchagua hawa wadudu!

Hahahahahahahahah bro umenifanya nimecheka saaaaaaana

Yan hakuna kuzuri hatukatai LAKINI ogopa mwanamke anaefanya kazi za shift za usiku,,nyoo walimu walimu hao mara semina sjui ujinga ujinga gan yan mauzauza kibao
 
Ninae mdogo'angu aliowa nurse,nilimuonya akaniona mimi kupenda sijui au sijui ndiyo ili wasaidiane maisha!

Alikuja kumpiga tukio moja dogo kidogo apotee hadi leo yeye ndo amekuwa mshauri wa watu kuhusu kuchagua hawa wadudu!

Et wadudu
 
Halaf sijui tu haka ka tabia kakuanza kupendana na Ex wako akiolewa kanaanzaga vipi yani hii ndio sababu kubwa Ndoa nyingi zinavunjika au unakuta Mtoto kafanana na Ex wa Mke wako na unajua ni mke wako tu

Lakini ukioa bikra atleast kuna uafadhali....japo kila jambo lina uzuri na ubaya wake.
 
Haya mambo yana uajabu wa namna yake aisee.

Usidhani kua hao mabaharia wanaopita nao eti wote hawana wake. Hapana wengi wao wameoa nao ni wachepukaji vilevile.

Wewe unatumia mbinu mbadala kumbandua mke wa mwenzio nae mkeo anabuni mbinu ya kubanduliwa huko.

Sio ke/me wanaoumia zaidi ni wale penda penda. Akili, mwili na roho kaviweka rehani kwa huyo mkewe/mpenzi wake.
 
Mtu akiamua kukusaliti hakuna njia yoyote hii dunia unaweza kutumia kumzuia labda umfungie chumbani kabisa asitoke ww uwe unamkuta tu humo
 
Back
Top Bottom