Mwanaume kuwa na wake wengi: Sababu, faida na changamoto/hasara

Hamna hata haja ya kutudanganya maana tunawajua ...na mkichepuka fanyeni siri tu maana hata sisi huwa hatuwaambii kama tunachepuka. Halafu nani aliwaambia kuwa mwanamke anaridhika na kibamia kimoja?
All in all jua kwamba mwanaume hazeeki
 
Hayo yote ya nn
Mm nina taka viwili tuuuu

Afanye kama ilivo andika bible.
Pia awe very very romantic- ila na swala la kuwa romantic kwenye bible wanafundisha pia.
 
Jamaa hapo uliposema kuwa mwanaume mwenye mwanamke mmoja ni shoga umewatukana wanaume wengi sana!
 
Ana mkewe K lyn, hao wengine kila mtu alikuwepo kwa wakati wake akapita. Sipati picha mwenzangu pangu pakavu ungakuwa na hata robo tu ya utajiri wake, mbona ungeoa kila kitongoji
K Lyn Ni mkewe,amefunga naye ndoa kanisani? Hivi unaelewa maana ya mke???hujanjibu hapa mama
 
Wewe mtoto huo ubongo wako una upeo wa kufikiri vizuri kwa asilimia ngapi Mama?
Utawaweza wanaume wajinga; kujitiaga ufahari na kuhalalisha mambo yasiyo na tija angalau na wao waonekane wamo. Maana kwenye mambo ya msingi kama uchumi, yamewashinda..ni apeche alolo angalau self esteem zipande kwenye ngono sasa. Maskini ndo nguvu zote anamalizia kwenye ngono, akiwa na uhakika tu wa kuongeza kafriji ka pili basi na mke/mchepuko ushaongezwa. Na uzinzi/uasherati una asili ya kutapanya, sasa imagine mtu ana sh 200, wanawake 6 (bado watoto hapo), umaskini utaisha? Lakini matajiri wengi, wanalinda ndoa zao maana wanajua wakizitibua, it means na uchumi wao utatibuka hivyo hivyo. Na ndo maana wenzetu hata utajiri wao kupotea kazi, unarithishwa tu kwa familia. Huku mtu mmoja ana familia 6, siku akifa utajiri lazima utapanywe kwa kila familia kila mtu ashike chake; kama ndo kampuni ishakufa.

Hakuna kitu kizuri kama kuheshimu ndoa na familia yako, automatically na uchumi wako utakuheshimisha pia. Kwa wale wanaume wenye akili njema " baraka zako zimefungamanishwa na mkeo, akicheka utacheka, akilia na wewe utalia tu"
 
Back
Top Bottom