Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,441
- 4,093
Sasa tumeanza kuelewana,naona unaanza kuelewa mwanaume rijali mwenye nguvu za kiume hatosheki na mwanamke mmoja ikiwamo Mimi,hao wenye viwango vya kawaida ndo wanatosheka na mwanamke mmojaKwa haya matangazo ya nguvu za kiume tunayoyaona kila siku? Baadhi ya wanaume kwa kujitutumua jamani hahahaaahaha. Ila kweli bora kama kwingine kumekushinda, compensate tu kwenye ngono. A man who thinks maisha ya ndoa ni all about sex....Mungu tusaidie wanawake