Mwanaume kuwa na wake wengi: Sababu, faida na changamoto/hasara

Kwa haya matangazo ya nguvu za kiume tunayoyaona kila siku? Baadhi ya wanaume kwa kujitutumua jamani hahahaaahaha. Ila kweli bora kama kwingine kumekushinda, compensate tu kwenye ngono. A man who thinks maisha ya ndoa ni all about sex....Mungu tusaidie wanawake
Sasa tumeanza kuelewana,naona unaanza kuelewa mwanaume rijali mwenye nguvu za kiume hatosheki na mwanamke mmoja ikiwamo Mimi,hao wenye viwango vya kawaida ndo wanatosheka na mwanamke mmoja
 
Wazungu wana uaminifu flani kwa kiasi kikubwa sana!
Wao wanaishi kwa kanuni Kwenye mambo mengi!
Wanajua kupenda kwa moyo wao wote!
Mzungu akimpenda Mtu amemaanisha kabisa toka Moyoni !
Kumpenda Mtu ni zaidi ya kumhitaji kingono!
Nyie weusi mko after ngono tu!
Nje ya ngono mnawaza kutafuta mwanamke mwingine kufanya ngono!
Hakuna kitu ambacho mwanamke atampa mwanaume zaidi ya papuchi,Tena papuchi yenyewe unapewa kwa masharti na ratiba
 
Mambo mnayowafanyia wanawake mngefanyiwa ninyi ingekuwa vita...ila mkiwafanyia wanawake huwa mnaona n sawa tu mna haki ya kufanya hivo...huo n ubinafsi wa hali ya juu....mnaangalia sana tamaa zenu za mwili bila kujali upande wa pili
Tatizo lenu mnataka kujilinganisha na wanaume ndo shida yenu, mwanaume Ni kichwa na atabaki kuwa kichwa, mwanaume Ana wanawake wawili na wewe mwanamke unataka ushindane naye
 
Ana mkewe K lyn, hao wengine kila mtu alikuwepo kwa wakati wake akapita. Sipati picha mwenzangu pangu pakavu ungakuwa na hata robo tu ya utajiri wake, mbona ungeoa kila kitongoji
K Lyn Ni mkewe,amefunga naye ndoa kanisani? Hivi unaelewa maana ya mke???
 
Wazungu wana uaminifu flani kwa kiasi kikubwa sana!
Wao wanaishi kwa kanuni Kwenye mambo mengi!
Wanajua kupenda kwa moyo wao wote!
Mzungu akimpenda Mtu amemaanisha kabisa toka Moyoni !
Kumpenda Mtu ni zaidi ya kumhitaji kingono!
Nyie weusi mko after ngono tu!
Nje ya ngono mnawaza kutafuta mwanamke mwingine kufanya ngono!
Wazungu mnawabeba tu, mwanaume Ni mwanaume tu
 
Tatizo lenu mnataka kujilinganisha na wanaume ndo shida yenu, mwanaume Ni kichwa na atabaki kuwa kichwa, mwanaume Ana wanawake wawili na wewe mwanamke unataka ushindane naye
Na tutashindana tu maana hakuna namna....nyie huwa mnawatreat wanawake kana kwamba hatuna mioyo...tuna mioyo pia kama ninyi..kwa hiyo kama mnataka muwe na wanawake wengi hata me mke wako nikiwa na wanaume wengi wewe mume itabidi ukubaliane ha hali...

mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu
 
Mwisho wa hiyo Vita wenyewe mnakuja kulia mwishoni, kwani Babu yako alikuwa Ana mke mmoja?
 
Mwisho wa hiyo Vita wenyewe mnakuja kulia mwishoni, kwani Babu yako alikuwa Ana mke mmoja?
Yaan hakuna kulia tutakomaa had mwisho...mmeshajiwekea kwamba tutalia hayo n mawazo yenu....babu zangu wote walikuwa na wana mke mmoja mmoja hadi leo.
 
Nafikiri hamaanishi mke wa ndoa, anamaanisha uhusiano wa kimapenzi na mwanamke nje ya ndoa.
Kwa hiyo ni kweli, mwanaume ambaye hana uhusiano na mwanamke mwingine nje ya yule rasmi, inawezekana kwa kipindi fulani tu, sio maisha yake. Au akiwa hayuko vizuri kiuchumi, au akiwa kwenye matatizo mazito, au kwa kuogopa kitu fulani, mfano anatarajia kuomba/kugombea cheo cha kisiasa!
Ila kama kila kitu kiko sawa, lazima atakuwa na mchepuko tu!
Wanawake mtuvumilie tu!
Unajidanganya, wanawake hawana haja ya kuvumilia, ujue huyo mkeo kwangu ni mchepuko. Maana asipochepuka michepuko itatoka wapi?
 
Hiyo huwezi kupingana nayo,Ni ngumu mwanaume kuwa na mwanamke mmoja,trust me hatufanyi makusudi inatulazimu
Hamjaamja tu kila kitu kinawezekana mtu akiamua....ila wala msijali sisi wenyewe tunaweza kuwa na wanaume wa kutosha tu ukiona mke wako hana mchepuko/michepuko jua hajaamua kuwa naye ila akiamua utaelewa tu.
 
Unajidanganya, wanawake hawana haja ya kuvumilia, ujue huyo mkeo kwangu ni mchepuko. Maana asipochepuka michepuko itatoka wapi?
Yaan kama mwanaume atataka mwanamke amvumilie kwa kuwa na wanawake wengi eti kisa mwanamke mmoja hatoshi ..basi na yeye avumilie kuwa mume mwenza tu otherwise we do not tolerate nonsense!
 
Unahitaji uthibitisho toka kitabu gani? Tuanze na Nabii Suleyman alikuwa na 900. Daud aliyependwa na Mungu, Mtume Mo, nk.
Kwa hiyo biblia inasema Mungu alihalalisha wanaume kuendekeza tamaa? Halafu hao unaowarefer n wanaume wenye tamaa kama ninyi tu ...ila sidhani kama Mungu alikuwa anapendezwa na maisha yao ya kuwa na wanawake wengi
 
Mtume Mo mcha Mungu alikuwa Ana wake wengi, Jacob baba wa Israel alikuwa Ana wake wanne
 
Kwa hiyo biblia inasema Mungu alihalalisha wanaume kuendekeza tamaa? Halafu hao unaowarefer n wanaume wenye tamaa kama ninyi tu ...ila sidhani kama Mungu alikuwa anapendezwa na maisha yao ya kuwa na wanawake wengi
Kumbe unadhani,Basi asingewatumia Kama manabii
 
Nyie dawa yenu Ni kuwadanganya tu, maana tukiwaambia ukweli kwamba hatutosheki na mwanamke mmoja,mnamind,dawa yake Ni kuchepuka kisirisiri tu
Hamna hata haja ya kutudanganya maana tunawajua ...na mkichepuka fanyeni siri tu maana hata sisi huwa hatuwaambii kama tunachepuka. Halafu nani aliwaambia kuwa mwanamke anaridhika na kibamia kimoja?
 
Back
Top Bottom